The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kupigwa kwetu ni faida yetu pia kwani next game tutacheza kwa spirit ya ku win zaidi.
 
.
FB_IMG_16734924124286239.jpg
 
Pep kujiita genius na kutaka kuprove watu kuwa ni kweli ,Jana saton kamfundisha nin maana ya mpira ...

Kazalau opponent Kwa kuweka bench Mahrez ,kdb , ederson,haaland ,ake ,akanji ..huku akifikiki soton ni Chelsea [emoji1786]...

Walker ambaye ni natural RB kacheza CB,hii sijui anajaribu kuonesha nin [emoji1786]...

Foden ni RW lakin anaforce kumchezesha LW ,na Kwa pep lazima ufuate amri ya kocha ,ona Sasa foden hana madhara kabisa akitokea kushoto ....

Combination ya palmer & grealish ni utopolo .....

Phillips hana ubunifu wowote pale kati zaidi ya kupigiana back pass na Laporte [emoji1786]...

Jana Alvarez alionekana hamna kitu Kwa sababu ya kukosa cross na pass kwenda kwake ,atlest alivoingia kdb alionekana [emoji1786]....

Pep anafanya rotation sometimes ambazo hazieleweke na kuwachezesha wachezaji nafasi ambazo sio kutafuta ugenius na kuzalau opponent ....

Jana mpaka HT no shot on target ,wachezaji wanacheza tu bila hata tactics,hovyo kabisa ,unaona kabisa hapa sijui goli litatokea wapi ...kiufupi soton wamerushowww ....

Next PL

Man UTD vs man city
 
Sema full time no short on target. [emoji3][emoji3]
 
Pep bana.

foden ni mzuri kwenye left wing ila jana kawekwa right.

walker ni natural right back ila jana kawekwa kati.

cancelo ni mzuri akiwa kushoto jana kawekwa kulia, sehemu ambayo ameshaonekana kushindwa kuimudu.

matokeo yake tukawa butu ukiongeza na phillips kufeli kuwacontain soton, tukapwaya kila eneo.
 
Wachezaji ambao ni takataka hawana wanalofanya uwanjani ,ubunifu zero ...

Cole palmer
Kalvin Phillips
Sergio Gomez

Wachezaji ambao Toka kombe la dunia kuisha viwango vimepotea ,

Kayle walker
Cancelo ...

Cancelo kaisha kabisa sijui anatatizo gani ...sio yule wa kupanda na kushuka cross za kutisha ,mpaka Madrid walikuwa washaanza kumtolea macho ...
 
City ya msimu huu sio city ya misimu miwili mitatu nyuma

Imechoka sana
Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto.
Screenshot_20230112_083055.jpg
 
Wachezaji ambao ni takataka hawana wanalofanya uwanjani ,ubunifu zero ...

Cole palmer
Kalvin Phillips
Sergio Gomez

Wachezaji ambao Toka kombe la dunia kuisha viwango vimepotea ,

Kayle walker
Cancelo ...

Cancelo kaisha kabisa sijui anatatizo gani ...sio yule wa kupanda na kushuka cross za kutisha ,mpaka Madrid walikuwa washaanza kumtolea macho ...
Tulieni dawa iingie

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
Huyo kenge game ya Kwanza kapigwa goli 6 ,tunakuja hapo hapo kwenu uwanja umejengwa na tofali za kuchomwa kuwagonga Tena jumamosi Sasa sijui mnataka nin Tena [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
Huyo ten hag hana uwezo wa kumfunga pep ,mnawafunga Hao Kina bounamoth,sijui chalirto mnaanza kuleta wowowo Kwa wanaume na machampion wa uingereza , mnafunga matimu ya championship huko mnaanza kuvimba kichwa ,jumamosii tunakuja kuwagonga hapo hapo chumbani kwenu [emoji3060][emoji3060]
 
Cancelo kabla ya world cup alikua ni bandika bandua sio carabao sio epl sio ucl.
kwasasa namna alivyo ni bora jumamosi twende na Ake kule kushoto.

Foden nae ukiacha game ya chelsea FA, game zingine hakuwa na madhara kabisa.The same kwa walker.

philips ndio sioni nafasi yake tena pale city. itabidi twende na Rodri tu.

Cole palmer bado umri unaruhusu kujifunza ila aende kwa mkopo timu zingine akapate game time ya kutosha, kwa pale city atatukost tu.

Grealish sina mchezaji wa kutegemea akupe matokeo.

KDB,Rodri,Gundogan ndio moyo wa timu. Twende nao hata kama ni bandika bandua.
 
City ya msimu huu sio city ya misimu miwili mitatu nyuma

Imechoka sana
Wale madogo Hamna kitu sa hv , defender zipo kama mlenda , lege lege no physical fitness..goli la Kwanza beki anapokea mpira kirembo Sana , beki aliyekuwa na mfungaji anajua kabisa cross imepigwa na first touch lazima mshambuliaji ataunasa , na possibility iliyopo lazima atauunganisha , Ila hajafanya effort yyte ya kudhibiti hlo
 
Back
Top Bottom