Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nilijua tu ...
Press ya FA pep alikuwa anazungumzia mambo ya derby [emoji3][emoji3]
Press ya FA pep alikuwa anazungumzia mambo ya derby [emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Philips urojo kabisa hawezi kazi chafu za rodri...Wachezaji Leo wote walikuwa wamekunywa pombe ...[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo kwa FA yenyewe tupo na arsenal next game ....Pontential titles remain
EPL
FA
UCL
Sema full time no short on target. [emoji3][emoji3]Pep kujiita genius na kutaka kuprove watu kuwa ni kweli ,Jana saton kamfundisha nin maana ya mpira ...
Kazalau opponent Kwa kuweka bench Mahrez ,kdb , ederson,haaland ,ake ,akanji ..huku akifikiki soton ni Chelsea [emoji1786]...
Walker ambaye ni natural RB kacheza CB,hii sijui anajaribu kuonesha nin [emoji1786]...
Foden ni RW lakin anaforce kumchezesha LW ,na Kwa pep lazima ufuate amri ya kocha ,ona Sasa foden hana madhara kabisa akitokea kushoto ....
Combination ya palmer & grealish ni utopolo .....
Phillips hana ubunifu wowote pale kati zaidi ya kupigiana back pass na Laporte [emoji1786]...
Jana Alvarez alionekana hamna kitu Kwa sababu ya kukosa cross na pass kwenda kwake ,atlest alivoingia kdb alionekana [emoji1786]....
Pep anafanya rotation sometimes ambazo hazieleweke na kuwachezesha wachezaji nafasi ambazo sio kutafuta ugenius na kuzalau opponent ....
Jana mpaka HT no shot on target ,wachezaji wanacheza tu bila hata tactics,hovyo kabisa ,unaona kabisa hapa sijui goli litatokea wapi ...kiufupi soton wamerushowww ....
Next PL
Man UTD vs man city
Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.City ya msimu huu sio city ya misimu miwili mitatu nyuma
Imechoka sana
Tulieni dawa iingieWachezaji ambao ni takataka hawana wanalofanya uwanjani ,ubunifu zero ...
Cole palmer
Kalvin Phillips
Sergio Gomez
Wachezaji ambao Toka kombe la dunia kuisha viwango vimepotea ,
Kayle walker
Cancelo ...
Cancelo kaisha kabisa sijui anatatizo gani ...sio yule wa kupanda na kushuka cross za kutisha ,mpaka Madrid walikuwa washaanza kumtolea macho ...
Huyo kenge game ya Kwanza kapigwa goli 6 ,tunakuja hapo hapo kwenu uwanja umejengwa na tofali za kuchomwa kuwagonga Tena jumamosi Sasa sijui mnataka nin Tena [emoji3][emoji3][emoji3]Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
Huyo ten hag hana uwezo wa kumfunga pep ,mnawafunga Hao Kina bounamoth,sijui chalirto mnaanza kuleta wowowo Kwa wanaume na machampion wa uingereza , mnafunga matimu ya championship huko mnaanza kuvimba kichwa ,jumamosii tunakuja kuwagonga hapo hapo chumbani kwenu [emoji3060][emoji3060]Ten Hag kazi ya kwanza kabisa iliyomleta England ukiachana na Kuisaidia Man Utd kuchukua makombe alisema ni kumaliza utawala wa City na Liver (End of an era) hapo England.
Tokea kutua kwake hapo Uingerza Klopp na Pep wanatapatapa sana, huyu jamaa huenda ana kaupako fulani hivi au anakaundugu kwa mbali na marehemu Sheikh Yahaya.
Poleni kina dada Mwasiti wa Gongo la Mboto. View attachment 2478128
Wale madogo Hamna kitu sa hv , defender zipo kama mlenda , lege lege no physical fitness..goli la Kwanza beki anapokea mpira kirembo Sana , beki aliyekuwa na mfungaji anajua kabisa cross imepigwa na first touch lazima mshambuliaji ataunasa , na possibility iliyopo lazima atauunganisha , Ila hajafanya effort yyte ya kudhibiti hloCity ya msimu huu sio city ya misimu miwili mitatu nyuma
Imechoka sana
Bado mna Maumivu ya Jana usiku tunakuja kutonesha mshonoHuyo kenge game ya Kwanza kapigwa goli 6 ,tunakuja hapo hapo kwenu uwanja umejengwa na tofali za kuchomwa kuwagonga Tena jumamosi Sasa sijui mnataka nin Tena [emoji3][emoji3][emoji3]
Beating city is not for everyone.Bado mna Maumivu ya Jana usiku tunakuja kutonesha mshono
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app