The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa mashabiki wa city wanaojielewa na kuongea ukweli wew Ni mmoja wapo mkuu. Lakin huyo Harry kane mjue akitoka Tottenham mnabato kubwa kati yetu nanyie kumchukua, Kama guardiola akimtaka.
 
I think you guys should forget to win UEFA at least for the next two seasons.
Pep kashafeli CL na kapewa miaka 2 ya nyongeza kama bonus ,maana inaonekana anaweza kutupa epl so once ataanza kutoka kapa bila kombe lolote ,will be sacked ...

Kwa Sasa huwezi kufukiza pep coz Bado anauwezo ,tactics na ability ya kuleta any trophies.....

Imagine saizi Liverpool ilipo ,ingekuwa pep ingekuaje ....
 
Pep Guardiola is overrated Manager. Always hiding himself on the bush of oily money. I wonder why people are comparing him with Don Carlo. Very stupid.
Pep mpe heshima yake ....

Klopp ni best coach lakin angalia anavostruggle [emoji1786][emoji1786]...

Pep Bado hajaisha kwenye football ,kwenye football bad moment kama hizo hazikwepeki ....

Kufungwa na united unasema ni stupid,wakati anampiga united goli 6 ulisema genius ,so relax .....

Mtu kama klopp ndio anatakiwa kukaa chonjoo maana kiwango cha Liverpool Kwa Sasa taa nyekundu imeshamuwakia ....
 
Spurs wanagongeshwa kama watoto ila tukija kucheza nao sisi sasa......
 
Sikutegemea arsenyani amalize game kirahisi namna ile..
Arsenal anakimbia mbio zake mwenywwe Kwa Sasa Kwa hiyo Kuna muda atakuwa hakamatiki Tena ,na wote watanyoosha mikono juu .....

Winning spirity Kwetu ishapungua ,na ni katika ya kipindi kugumu mno ambacho ndicho tungepunguza point ,lakin ndio hivo ...

Pep kashasema hajali Tena league ,japo psychologically Bado anapambania ,mind game ....game ya spurs inaweza kuamua kama title contenders au top four contenders ,maana man UTD juma tano anampiga crystal palace na anapanda juuu nafasi ya 2 .....

Pep anakazi kubwa Sana kurudisha winning mentallilty Kwa wachezaji ,kuwapa roho ya usimba uwanjani ,kitu ambacho wachezaji wetu wamepungukiwa ....
 
Komaeni na UEFA tu, huku kwenye ligi mtabaki kupiga ramli tu
 
Eeeehuuuuu! Wakuu nachoamini bado tuna nafasi ya kutwaa Epl hii miruzi mingi isitupotezee mwelekeo .
 
Eeeehuuuuu! Wakuu nachoamini bado tuna nafasi ya kutwaa Epl hii miruzi mingi isitupotezee mwelekeo .
Game ya spurs itaamua kama kweli tunaweza kupambania epl ....kusema kweli inaoneka upepo haupo kwetu ....arsenal sometimes hata kama wapo weak but wanapata easy win
 
Mambo ya usajili bwana..

dili la perrone linaonekana kufeli.

Huenda yakawa kama ya Mudryk kwa arsenal.
 
Some good news:

Ruben diaz & John stones have returned on training....

Bad news

Kevin de bruyne was absent on training amid injury fears.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…