Kdb sijui amakuaje ,sikuhiz hana mashuti tana ....
Kdb wa zamani alikuwa ukiacha space nje ya box kidogo basi ni kombola libatumwa golin ....
ila Sasa Leo Kuna nafasi kibao ,yupo free kushoot kwenda golin lakin anapiga cross pemben mara Kwa foden ,mara Kwa Mahrez ,wakati yupo free kushoot ,ujinga mtupu [emoji848]
Pale kati hakuna pasii zilikuwa zinapita , bernado pekee ndio alikuwa anaforce kuchukua mpira kutoka chin kuwapa kina rodri ,japo hawakuwa na ubunifu ....
Kiufupi spirit ya ushindi imepotea kabisa ,kama pep asipokuwa mkali kwenye dressing room na kubadilisha mindset za wachezaji ,basii ni mwendo wa kuloose tu ...
Saizi epl imekuwa tight Sana ,hakuna game rahisi kabisa ...