The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kale ka aseno kesho kanatutimulia vumbi tu...
Game ya mwanzo spurs alipigwa nyingi Kwa sababu ya red card ,ila pamoja na yote arsenal kashakuwa na spirit ya ubingwa ,sioni spus kesho anachomokea wapi [emoji1786]
 
Haaland!
 
Attachments

  • 629AB367-2CE4-4B1F-A59A-F3AE372528AE.jpeg
    629AB367-2CE4-4B1F-A59A-F3AE372528AE.jpeg
    29.5 KB · Views: 3
Kdb sijui amakuaje ,sikuhiz hana mashuti tana ....

Kdb wa zamani alikuwa ukiacha space nje ya box kidogo basi ni kombola libatumwa golin ....

ila Sasa Leo Kuna nafasi kibao ,yupo free kushoot kwenda golin lakin anapiga cross pemben mara Kwa foden ,mara Kwa Mahrez ,wakati yupo free kushoot ,ujinga mtupu [emoji848]

Pale kati hakuna pasii zilikuwa zinapita , bernado pekee ndio alikuwa anaforce kuchukua mpira kutoka chin kuwapa kina rodri ,japo hawakuwa na ubunifu ....

Kiufupi spirit ya ushindi imepotea kabisa ,kama pep asipokuwa mkali kwenye dressing room na kubadilisha mindset za wachezaji ,basii ni mwendo wa kuloose tu ...

Saizi epl imekuwa tight Sana ,hakuna game rahisi kabisa ...
 
Tunaruka majoka tu skuizi...

mpira ushaanza kutushinda...

tunacheza ilimradi tu tunacheza...

tumekuwa wakamilisha ratiba.

tumekuwa wazururaji uwanjani..

tumekuwa shamba la bibi

tumekuwa wagawa point

tunacheza kama sunderland

tunapiga punyeto uwanjani.

tunacheza sindimba badala ya mpira.

tumekuwa matakataka

tumekuwa watalii uwanjani

na kazalika na kazalika.
Matakataka katika ubora wenu[emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Haaland saizi wameshamjulia Sasa ,inabidi afanye mazoezi ya kuhusika kwenye build up ,kukaa pale kati kusubili cross itakuwa ngumu kwake [emoji3060][emoji3060]
Haaland kafanya timu ibadilike kabisa namna ya uchezaji..
yani tunakuwa pungufu wakati wa build up kwasabu yeye anakuwa ka stick sehem moja..

Naanza kuhisi kufeli kwa falsafa za pep kwa staili hii kwasababu hata pale barca alikuwa na false no.9 messi ambaye ni mzuri kwenye build up.

Tukiendelea kucheza possesive futbol tukiwa na haaland kama central oriented striker sion tukifika popote labda kama tutahama kwenda kwenye direct football ama haaland mwenyewe aanze kuwa involved kwenye build up phase.
 
Kdb sijui amakuaje ,sikuhiz hana mashuti tana ....

Kdb wa zamani alikuwa ukiacha space nje ya box kidogo basi ni kombola libatumwa golin ....

ila Sasa Leo Kuna nafasi kibao ,yupo free kushoot kwenda golin lakin anapiga cross pemben mara Kwa foden ,mara Kwa Mahrez ,wakati yupo free kushoot ,ujinga mtupu [emoji848]

Pale kati hakuna pasii zilikuwa zinapita , bernado pekee ndio alikuwa anaforce kuchukua mpira kutoka chin kuwapa kina rodri ,japo hawakuwa na ubunifu ....

Kiufupi spirit ya ushindi imepotea kabisa ,kama pep asipokuwa mkali kwenye dressing room na kubadilisha mindset za wachezaji ,basii ni mwendo wa kuloose tu ...

Saizi epl imekuwa tight Sana ,hakuna game rahisi kabisa ...

Mapema sana mnakata moto
Sisi tulianza ligi na vichapo lkn wale twaruka tshwaaa [emoji23][emoji23]
 
Haaland kafanya timu ibadilike kabisa namna ya uchezaji..
yani tunakuwa pungufu wakati wa build up kwasabu yeye anakuwa ka stick sehem moja..

Naanza kuhisi kufeli kwa falsafa za pep kwa staili hii kwasababu hata pale barca alikuwa na false no.9 messi ambaye ni mzuri kwenye build up.

Tukiendelea kucheza possesive futbol tukiwa na haaland kama central oriented striker sion tukifika popote labda kama tutahama kwenda kwenye direct football ama haaland mwenyewe aanze kuwa involved kwenye build up phase.
Luke Shaw bado kamficha mfukoni😝😝😝
 
Unaambiwa Rashford hakugusa mpira wala kugusana na mchezaji yoyote wa City . R10 akamuachia Bruno Auguse mpira. Angalia vizuri replay,utamuona R10 anauruka mpira na kumuachia Bruno akafunga goli

Hawa wenzetu wanasoma darasani sio kama sisi wachezaji wetu hawaelewi sheria n kanuni. Nilimuona Bruno anamlalamikia linsemen kana kwamba anajua kilichotokea.

Hakuna offside hapo
 
Mchezaji akiwa offside akaruka mpira Moja kwa Moja kahusika kwenye build up .....

Kuna game yetu na nyie nakumbuka frenandihno alipiga shuti ,aguero alikuwa offside lakin hakugusa aliuruka mpira ,na mpira ukaingia nyavuni ,lakin walismema ni offside.....

Kwanza kitendo cha rashford kuwa offside ilikuwa filimbi ipigwe mpira ustop [emoji1786][emoji1786][emoji1786]
 
Haaland kafanya timu ibadilike kabisa namna ya uchezaji..
yani tunakuwa pungufu wakati wa build up kwasabu yeye anakuwa ka stick sehem moja..

Naanza kuhisi kufeli kwa falsafa za pep kwa staili hii kwasababu hata pale barca alikuwa na false no.9 messi ambaye ni mzuri kwenye build up.

Tukiendelea kucheza possesive futbol tukiwa na haaland kama central oriented striker sion tukifika popote labda kama tutahama kwenda kwenye direct football ama haaland mwenyewe aanze kuwa involved kwenye build up phase.
Haaland sio mzuri kwenye ball control,so kwenye build up sio mzuri ,kupress vile vile sio mzuri .....

Yeye anajua kumalizia tu ....

Sasa inatakiwa mfumo wa kuendana nae ....
 
Mchezaji akiwa offside akaruka mpira Moja kwa Moja kahusika kwenye build up .....

Kuna game yetu na nyie nakumbuka frenandihno alipiga shuti ,aguero alikuwa offside lakin hakugusa aliuruka mpira ,na mpira ukaingia nyavuni ,lakin walismema ni offside.....

Kwanza kitendo cha rashford kuwa offside ilikuwa filimbi ipigwe mpira ustop [emoji1786][emoji1786][emoji1786]
 
Attachments

  • Screenshot_20230114-181006_Facebook.jpg
    Screenshot_20230114-181006_Facebook.jpg
    40.3 KB · Views: 4
Mchezaji akiwa offside akaruka mpira Moja kwa Moja kahusika kwenye build up .....

Kuna game yetu na nyie nakumbuka frenandihno alipiga shuti ,aguero alikuwa offside lakin hakugusa aliuruka mpira ,na mpira ukaingia nyavuni ,lakin walismema ni offside.....

Kwanza kitendo cha rashford kuwa offside ilikuwa filimbi ipigwe mpira ustop [emoji1786][emoji1786][emoji1786]
Lile halikupaswa kua goli ila ndio imeshapita ivyo
 
Haaland sio mzuri kwenye ball control,so kwenye build up sio mzuri ,kupress vile vile sio mzuri .....

Yeye anajua kumalizia tu ....

Sasa inatakiwa mfumo wa kuendana nae ....
Direct football ndio itamfaa..

sasa unadhani pep anaweza kuswitch kutoka possesive football kwenda direct futbol?

sioni pep akifanya hilo.
 
Back
Top Bottom