Sisi Gunners focus ni 3points kila mechi. Kombe leni hili.View attachment 2484920Arsenal anashinda easy kabisa na ni dalili ya ubingwa kwake...
Alikuwa na harmstring injury toka mwaka jana kwenye World cup game ya portugal na morocco.Diaz amekua uchochoro tu siku hizi au ni injury?
Kuna season tuliwasha moto bila kdb 8 game W mfululizo [emoji2] nakumbaka gundogun alikuwa moto balaaa ndio aligeuka kuwa kdb [emoji2][emoji2]....Wakati mahrez anaanza kurudi kwenye form, Foden ndio kwanza anapotea.
Yan baada ya world cup, foden anazidiwa perfomance hata na grealish ambae tumekuwa tukimsema sana humu...
Ndani ya mechi 5 grealish ana assist 3 na goli moja ila foden ana goli 1 tu!!
cancelo nae amepotea baada ya walker kupona injury.
ruben dias karudi ndio kwanza kdb kuna taarifa nae ana injury!
na alhamis tuna mbaya wetu spurs.
Msimu huu mkimkosa KDB na Haalland hata top four itakua hatianiKuna season tuliwasha moto bila kdb 8 game W mfululizo [emoji2] nakumbaka gundogun alikuwa moto balaaa ndio aligeuka kuwa kdb [emoji2][emoji2]....
Spurs tunampiga.Leo united wakimfunga palace wanakuwa nafasi ya pili na kutuzidi point 2+ ...
Next spurs .....
Hapo kwa Haaland hapana.Msimu huu mkimkosa KDB na Haalland hata top four itakua hatiani
KDB yuko fiti.Wakati mahrez anaanza kurudi kwenye form, Foden ndio kwanza anapotea.
Yan baada ya world cup, foden anazidiwa perfomance hata na grealish ambae tumekuwa tukimsema sana humu...
Ndani ya mechi 5 grealish ana assist 3 na goli moja ila foden ana goli 1 tu!!
cancelo nae amepotea baada ya walker kupona injury.
ruben dias karudi ndio kwanza kdb kuna taarifa nae ana injury!
na alhamis tuna mbaya wetu spurs.
Leo mfungeni spurs ligi izidi kunogaManyumbu wameshindwa kutu overtake angalau kwa masaa 24 tu.
Hakuna cha heri wala kitukuu chake na bibi heri..Kila la kheri Tottenham