The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal anashinda easy kabisa na ni dalili ya ubingwa kwake...
Sisi Gunners focus ni 3points kila mechi. Kombe leni hili.View attachment 2484920
IMG_20230115_100958.jpg
 
Wakati mahrez anaanza kurudi kwenye form, Foden ndio kwanza anapotea.

Yan baada ya world cup, foden anazidiwa perfomance hata na grealish ambae tumekuwa tukimsema sana humu...

Ndani ya mechi 5 grealish ana assist 3 na goli moja ila foden ana goli 1 tu!!

cancelo nae amepotea baada ya walker kupona injury.

ruben dias karudi ndio kwanza kdb kuna taarifa nae ana injury!

na alhamis tuna mbaya wetu spurs.
 
Kuna season tuliwasha moto bila kdb 8 game W mfululizo [emoji2] nakumbaka gundogun alikuwa moto balaaa ndio aligeuka kuwa kdb [emoji2][emoji2]....
 
Game bila kdb ,gundo ni bonge la creative midifilder, ile season bila kdb tuliuwasha mpaka pundit wakawa wanasema city ni ya moto bila kdb ...

Kumbuka tulikuwa tunacheza na false 9 Bernardo silva .....

Saizi tuna haaland ,kashazoea mipass ya kdb ,na kusimama katikati ya madefender kusubili ball ...
 
Leo united wakimfunga palace wanakuwa nafasi ya pili na kutuzidi point 2+ ...

Next spurs .....
 
Pep Guardiola confirms Kevin De Bruyne IS AVAILABLE to face Tottenham hotspurs on thursday.
 
Msimu huu mkimkosa KDB na Haalland hata top four itakua hatiani
Hapo kwa Haaland hapana.

kuna Alvarez ambaye tactically ana offer vitu vingi zaidi ya Haaland ukiacha finishing.
Asilimia kubwa ya magoli ya haaland hapo city ni tap in goals, yale ya "ushindwe mwenyewe tu" unagusa tu imo.
Hapo huwezi kusema ni tegemeo.

Kufunga anafunga yeyote as long as chance zinatengenezwa.
Kama hamna nafasi zinazotengenezwa, Haaland anageuka mtalii uwanjani.

Man city ya bila Haaland ilikuwa ni hatari zaidi ya Man city yenye Haaland.
 
Wakati mahrez anaanza kurudi kwenye form, Foden ndio kwanza anapotea.

Yan baada ya world cup, foden anazidiwa perfomance hata na grealish ambae tumekuwa tukimsema sana humu...

Ndani ya mechi 5 grealish ana assist 3 na goli moja ila foden ana goli 1 tu!!

cancelo nae amepotea baada ya walker kupona injury.

ruben dias karudi ndio kwanza kdb kuna taarifa nae ana injury!

na alhamis tuna mbaya wetu spurs.
KDB yuko fiti.

kudrop kwa kiwango cha cancelo kumechangia kwa kiasi kikubwa kutuyumbisha.

siku za mwishoni kabla ya WC na baada, jamaa kapotea mno.

yale manjonjo yake na creativity pale akiwa amesogea kati timu ikiwa inafanya buildup hayapo tena.

Huyu jamaa akirudi kwenye form yake, itasaidia kukoleza moto wa mashambulizi ambao sasahivi umefifia.
 
Three Guardiola's disciples with their teams leading their respective leagues.

Mikel Arteta
Arsenal- PL leaders

Xavi Hernandez
Barcelona- La Liga leaders

Vicent Kompany
Burnley- Championship leaders
 
City imeamua kupush kwa nguvu dili la Perrone.

-personal terms 100% agreed.
-Verbal agreement done
-Paperwork on process
 
Sijawahi kuwachukulia poa kabisa spurs ....

Son anapenda Sana kumfunga ederson ..

ila Kwa hali tuliyonayo ,spurs ni lazima aachie point tatu ,kakutana na sisi tupo kipindi kibaya zaidi ,yaani kila mtu na hasira za kutaka 3+ point...
 
Back
Top Bottom