The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Defence yetu inavuja sio kwamba mabeki wetu ni wabovu, ni kwasababu hakuna muunganiko pale nyuma hasa kwenye center back. Tuko disorganized.

backline haija settle kila mda inafanyiwa rotation wachezaji wanakosa muunganiko.

Toka pep amekuja city ni msimu 1 tu ambao tulikuwa na solid defence, 2020-2021. Timu ilikuwa na backline ya center backs inayoeleweka, Ruben Diaz na Laporte bandika bandua.

Hata ukiangalia timu yoyote ile yenye au iliyowahi kuwa na solid defence, lazima kuna wale regular starters ambao wanatengeneza muunganiko na ndio wanakuwa mhimili nyuma. mfano

Real madrid (Ramos & Varane)

Liverpool (Van Dijk & Matip)

Chelsea ( Thiago silva & Rudiger)

Juventus (Cherllini & Bonucci)

City hata huwezi ukatabiri nani anaanza.
una Akanji,Laporte,Stones,Ake,Ruben na wote hakuna regular starter.

Kwa style hiyo hata angekuwepo Rio ferdinand au canavarro tungevuja tu sababu defence as a whole unit haiko organized, haina combination.
Kwa Sasa ake ndio solid defender...wengine wote wanajificha kwenye possession,....

Tukipoteza mpira unaona kabsia jinsi defender wetu wanavokuwa exposed ....
 
Unajua shida ya pep anawavurugavuruga sana pale nyuma.

Inabidi kuwa na signature figures pale nyuma ambao wanaelewana vizuri na wana muunganiko. Defence inakuwa organized vizuri.
Hata pale barca alikuwa na Puyol-Pique comb.
Pale city ni kama anafanya experimentation. Leo kawekwa huyu kesho yule, chaos all over the place.

Kutumia possession kama njia ya kujilinda pekee bila kuwa na settled centerbacks inatukost tunapokuwa outpossesed. Tunapigwa magoli malaini laini.

Mabeki tulionao ni wazuri shida ni kwamba hawana muunganiko sababu ya kufanyiwa rotation za mara kwa mara.

Ili uwe na solid defensive structure ni muhimu sana mabeki wawe na muunganiko mzuri.Sisi hatuna.
Bado hatuja settle defensively.
 
Naona approach aliyokuja nayo pep kwenye mechi ya jana inatufaa zaidi.

Ile ya kucheza na Haaland kama lone striker tunazuilika kirahisi sana.

Tunakuwa rigid kwenye kushambulia kwa sababu timu inakuwa inamuangalia Haaland tu.

Wings wanawaza kupiga cross kumtafuta haaland, viungo wanawaza kupiga penetration kumtafuta Haaland.

Hakuna anayekuwa anafanya mikimbio ndani ya box zaidi ya haaland.

Tukienda na double striker (Haaland & Alvarez) tunakuwa na uhai pale mbele.

Alvarez ni dynamic, anakuwa anakuja kufanya link up na viungo wakati wa build up na anakuwa anaingia ndani ya box kuongeza idadi ya washambuliaji.

Jana tumekuwa na hatari kwenye box la spurs ukilinganisha na mechi 4 au 5 zilizopita.

Nafikiri tunaweza kwenda na hii.
 
KDB na Foden wakirud ktk ubora wao uliozoeleka itakua vzr sana.

Kupambana na Arsenal ya ss inabid team nzima ifanye step up kubwa na nafas pekee ya msing kushikana mashat na Arsenal ni izo game 2 tunazocheza nae.
 
Nadhani pep kafanya vile kwasababu tu KDB hayuko on form..
 
Kitu cha muhimu ni consistency maana hata huyo arsenal tunaweza tukamkamia tukamuwasha zote halafu tunaenda kupigwa na kina leicester na west ham..inakuwa kazi bure.
 
Nadhani pep kafanya vile kwasababu tu KDB hayuko on form..
Of course

kwanini tuendelee kum exploit kevin ambaye anaonekana kachoka while we have a fresher alternative on the bench?

Kevin twende nae taratibu tu mpaka atakapo regain form.
 
Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..

Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...

Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....

Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
 
KDB aliumia lin mbona imenipita hyo,au ni kwenye mazoez.
Rico soo young and fresh,more energetic namuombea azid kupata time awe bora kila sku
 
Kdb hakufanya mazoezi kutokana na sababu za kifamilia ,lakin pep akawa amesema lazima atukuwepo kwenye game na spurs ,japo alianza bench ....na ilikuwa aingie ila baada ya kuona waliopo wanaweza maliza game akamuacha ...labda next game tutamuona ....
 
De bruyne hakuumia isipokuwa j4 hakuwepo kwenye mazoezi sababu ya personal issues.
 
Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..

Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...

Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....

Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Hii timu ina mashabiki wasio na uelewa wa mpira
 
Tafuta game ya mwisho asenal kumfunga man city ilikuwa Lin ,kiroboto wewe ....

Toka 2015 hujawah kupata point 3 mbele ya city [emoji2][emoji2]ni vichapo tu ...Leo unapata wapi kauli ya kusema unaweza kuchukua point 6 ..
 
Dario Sarmiento (19)

Huyu wanasema ni future Mahrez.

Kule kwao Argentina wanamuita "mini messi"

Ana drible ni balaa.

Yupo academy ya Girona kwa mkopo.
 
Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..

Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...

Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....

Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Rico sio creative kama Kevin.
Mtu anaeweza kuifanya vizuri role ya kevin pale city kwa sasa ni gundogan japo sio kwa 100%.
 
Kdb hakufanya mazoezi kutokana na sababu za kifamilia ,lakin pep akawa amesema lazima atukuwepo kwenye game na spurs ,japo alianza bench ....na ilikuwa aingie ila baada ya kuona waliopo wanaweza maliza game akamuacha ...labda next game tutamuona ....
Oooh hapo sawa
 
Lewis anaweza kumreplace kdb mazee ,Dogo Yuko physically & mentally fit ,anajua kubuild mashambulizi ,anashoot Kali kwenda golin ....pep anatakiwa kumpa muda mwingi Dogo ajiamin uwanjani ..

Haaland hawezi kucontrol ball , yeye mtangulizie mpira mbele ,au mpe cross ...

Alvarez ni mzuri kwenye pressing ,anajua kutia pressure Kwa opponent ,hasa timu zinazoanzia nyuma mashambulizi ....

Alvarez & haaland hii combination ikikaa poa ,hata arsenal atapigika mchana kweupe ...
Rico lewis sidhani kama anaweza kuifanya kazi ya kdb.. yule ni fullback, majukumu ya attacking midfielder hatoyaweza.

Ana offer the best akicheza pale pale kwenye wing back ambapo anaingia kwenye midfield kufanya overload timu ikiwa inashambulia.

Kumuweka kama 10 ni kumtaftia lawama tu.
 
Mwanzo nilimuona kama RB na ni replacement ya walker ...

Baadae akawa anacheza kama wing back ...
Rico kuwa transformed kama attacking midfielders ni simple Sana ....

Pep huwa hana mambo ya kukalili sijui huyu ni complete LB ,au AMD ndio maana cancelo anaweza cheza Left winger ....japo watu wamekalili ni LB
 
Back
Top Bottom