The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Uyu kocha wa Palace ni kiboko mweee yaani tangu atue pale Palace imekua inatisha balaaa... Polen sana ndugu zangu umu

Haki ya nani Alan Pardew ni bonge la kocha.. Nataman kuona anaongoza timu ambayo ina watu kama Jonjo shavely, Charlie Adams, Zouma, Harry Kane... Daaah sema ndio ngumu kama kuona machozi ya samaki
 
Back
Top Bottom