Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not sure bro...ila najua ni shabiki wa majirani zetu....Daah sio mamluki wa Arsenal au Liverpool kweli.??
Mkuu naona umeamua kuja kuwasaidia neighbour Updates za usajili...wenyeji humu wako wapi?Manchester City agree £54m fee with Wolfsburg for Kevin De Bruyne http://t.co/xguZEE2alX via guardian_sport
Kun Aguero....., ya leo ni zaidi ya hat-trick!
grafani11 umenena vyema.., huenda wahusika wanaweza wakawa na mtazamo kama wako ila kumbuka pia zali kama la Aguero huwa ni nadra sana kutokea!!Nadhani kuwekwe utaratibu wa kumpa mtu mpira na vitu vingine kama firimbi ya refa wa siku.
Leo Aguero alistahili Mpira na Firimbi.
Daah sio mamluki wa Arsenal au Liverpool kweli.??
Yupo mmoja anaitwa ndetichia
Hivi hii timu nayo ina mashabiki huku tanzania.???
Hii timu ndio iliyopigwa 5 na Barcelona