kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Nadhani hiki ndo officialBasi kila sehemu nao na kikosi chao sasa sijui kipi ni official?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hiki ndo officialBasi kila sehemu nao na kikosi chao sasa sijui kipi ni official?
Poa mkuu naona hawa wengine ni site za udaku tuNadhani hiki ndo official
kikosi nilichoona mimi kuna john stones na sio laporteShukrani chief, kwahyo mfumo ndio huo nilio una kweli au? Mana naona 4.5.1
Ederson
Walker .. Otamend .. Laporte .. Zinchenko
Bernardo.. David silva .. KDB ... Sterling .. fernandinho
Aguero
Duh mbona hatari sasakikosi nilichoona mimi kuna john stones na sio laporte
Duh!! Hiki hapana.
Stones na laporte wote wako benchi mkuuDuh mbona hatari sasa
Kweli mkuu kile chako ndio sahihiNadhani hiki ndo official
Ingia pray store. Andika Football manianatafuta link ya kuangalizia mech nko polin hakuna tv msaada wenu
Ok, ngoja tuone inakuaje mkuu. Ika sijuw kwa nini D.Silva kamuweka benchi mkuu.Kweli mkuu kile chako ndio sahihi
sawa mkuu ngoja nikaitafuteIngia pray store. Andika Football mania
Poa mkuusawa mkuu ngoja nikaitafute
nmekutumia screenshot uone zilizokujaIngia pray store. Andika Football mania
D.Silva sijui ana nini tu ila acha tuassume kua ni rotatin ya kikosi tuOk, ngoja tuone inakuaje mkuu. Ika sijuw kwa nini D.Silva kamuweka benchi mkuu.
Weka hiyo namba 3nmekutumia screenshot uone zilizokuja
okayWeka hiyo namba 3