CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Nilipotea kidogo.Wakuu mbona kumepoa sana!!! Hata salamu sizioni!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipotea kidogo.Wakuu mbona kumepoa sana!!! Hata salamu sizioni!!!
Pole mkuu. Na karibu tenaNilipotea kidogo.
Safi mkuu, kwema kabisaNiaje wakuu kwema humu?
Alafu mara moja moja stock huw inasumbua kwao. Kocha asipokuw makini twaweza pata matatizo. Sema tu mwaka huyu wako vibaya sana. Ndo team iliyofungwa magoli mengi.Leo tupo ground la ugenini tunauwasha na Stock city
Kwema sana...Safi mkuu, kwema kabisa
Nikweli STK hawapo vizuri kabisa msimu huu ila game ya leo Aguero nasikia hatokuepoAlafu mara moja moja stock huw inasumbua kwao. Kocha asipokuw makini twaweza pata matatizo. Sema tu mwaka huyu wako vibaya sana. Ndo team iliyofungwa magoli mengi.
Ni kweli, lakini Sterling na Fernandinho wapo. Mambo atakuw mazuri tuKwema sana...
Nikweli STK hawapo vizuri kabisa msimu huu ila game ya leo Aguero nasikia hatokuepo
Kikosi kimerudi tena aisee cty wanakikosi kipana sanaNi kweli, lakini Sterling na Fernandinho wapo. Mambo atakuw mazuri tu
Ni kweli, ila tuna tatizo moja, De brune asipocheza pengo lake halizuiliki kabisa.Kikosi kimerudi tena aisee cty wanakikosi kipana sana
Aisee hili pengo sio pengo ni mwanya mana hapazibiki kweli mkuuNi kweli, ila tuna tatizo moja, De brune asipocheza pengo lake halizuiliki kabisa.
Ila kumpata mwingine wakuweka benchi siyo laisiAisee hili pengo sio pengo ni mwanya mana hapazibiki kweli mkuu
Nikweli mkuu ila kuna watu wanaweza japo kukaribia show ya mwana, mtu kama Draxler nahisi atafaaIla kumpata mwingine wakuweka benchi siyo laisi
Ile game ya uefa ndio alikua na hizo mambo lakini kisharudi mbona, ata mchana nimesoma kwenye site ya cty kuhusu ujio wakeSiliva mbona kuna redio inasema yupo kwake sevilla kushughulikia family issues
Mkuu sijakuelew. Alafu kule tumeshafanya mambo wakuu. Stk 0-1 Man CityDah! Nimewapa muongoze first half fanyeni kweli basi wadau
Kijana kabet cty waongoze kipindi cha kwanzaMkuu sijakuelew. Alafu kule tumeshafanya mambo wakuu. Stk 0-1 Man City
Tia ubani kabisaSafi sana nimewapa mshinde first half
Bado sporting cp dah! Bado bila bila
Nilikuw sijamuelewa mkuu. HahahahaKijana kabet cty waongoze kipindi cha kwanza