SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Leo kazi mnayo watani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii page ilichangamka sana juzi hadi nilikimbia kwatulichofanywa
[emoji23][emoji23][emoji23] mimi siyo city nifatilie huku utajua mi timu ganiCity kashaolewa na l'pool kwahiyo popote pale atavuliwa nguo tu
Una damu ya liverpool sema basi tu barcelona wamekurubuni...[emoji23][emoji23][emoji23] mimi siyo city nifatilie huku utajua mi timu gani
Matokeo yamekuwaje?Nyie mashabiki wa kukodi ina maana hamuoni kinachowatokea pale etihad? Thread imepoa kama uji wa mgonjwa aliebadilika hali ghafla!
manc 2 v manu 3Matokeo yamekuwaje?