Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Unaona kinachomkuta conte? Asipokua makini kitamrudia yeye hapo man city!! Watu washajua mbinu zake!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mara hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaona kinachomkuta conte? Asipokua makini kitamrudia yeye hapo man city!! Watu washajua mbinu zake!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mara hii
Ahahahaha, Shululu umeona? Na kule jamvi letu la Liver nilisema Firmino ana goli na mwafrika mmoja kati ya Mane Na Ustaadh mmoja atatumbukiza [emoji13]Kunywa balimi baridi, bili Kwangu
Nimeona zumbemkuuAhahahaha, Shululu umeona? Na kule jamvi letu la Liver nilisema Firmino ana goli na mwafrika mmoja kati ya Mane Na Ustaadh mmoja atatumbukiza [emoji13]
UCL mtaiota tu
UCL ina wenyewe
Hope umewaona wenye UCL yaoWenyewe ni wakina nani boss?
Shukrani mkuuPoleni sana
Poa mkuu kwasasa acha nikubali tuHope umewaona wenye UCL yao
Morning!Good morninggg