The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

One throphy Down

timu ya kwanza kuchukua kombe kwa msimu huu nafikiri mashabiki wa liverpool mnabidi mjifunze kitu hapa maana nyinyi ndo mnaidhalilisha top four

wachezaji wa chelsea mmefanya kazi nzuri ya kuchelewesha muda ila bahati siyo yenu

FA CUP WINNER

LOADING..........

Special thanks
#burma tv online
#etihad fans
#king ngweba
#pep guardiolla
#calvin power
 
Habari za siku nyingi wakuu?

Hongereni kwa kuendeleza vipigo vya hapa na pale dhidi ya vikundi vya wahuni....... Msimu huu tutakua na vikombe vingi tofauti na msimu jana
Naanza kuhesabu sasa

1.
 
0_Carabao-Cup-Final-Machester-City-vs-Arsenal-FC-London-United-Kingdom-25-Feb-2018.jpg
 
yaani leo kwanza hatuitaji nguvu sana najua wenzangu wanaelewa

MANUEL PELEGRINI

first ni shabiki wa The cityzen also ana kumbukumbu kubwa Etihad stadium arena tunaenda kukamilisha ratiba kama vile watford wanavyoenda kutoa sare

#calvinpower


cityzen chaitman am here
 
Kama kawaida leo tupo nyumbani tukimualika West ham, kila mechi kwetu fainal

Mungu ibariki City
 
Back
Top Bottom