The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hahahahah lol! GUNNERS tumeshakuwa timu ndogo eeh 🙂🙂 jana nilisikia ulikuwa unaumwa 🙂 unaendeleaje leo? 🙂 umeangalia juu yako kuona nani yuko kule? hahahahah lol! Happy New Year Mkuu.

Hahahaha! Ina maana ulikuwa hujui kama Arsenil ni little feeder club a.k.a Man City B. Enjoy the fourth position while it lasts, because it never does!
Happy NY to you too mkuu.
 
Sunderland-v-Manchester-City-Edin-Dzeko-frust_2697224.jpg

Mamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Timu yenye wachezaji wazuri mpaka sasa ni man city lakini coach hawana nilisema mwanzo na hawana plan B wakikabwa ndio hivyo tena wategemee individual talent Mancini hawezi kuipeleka timu mbele wao wananunua wachezaji kuuwa upinzani sio kubuild timu
 
wabongo bwana timu ikifungwa mechi moja tu kocha mbaya, binafsi si mshabiki wa Man City ila nameheshimu sana Macin kwani ni kocha mzuri sana anayejua mbinu za soka la kisasa. angalia record yake hata alipokuwa inter
 
Back
Top Bottom