Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hope spurs watatunyamazishia watu humu[emoji23][emoji2]
Bonge la game
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la game
Hii game ilitakiwa ianzie pale etihad ili tukienda kwao tunajua cha kufanya, ikianzia kwao ikaja kwetu wanajua cha kufanya. Ila tukiwapiga goli 4 hapo kwa itatupa njia nzuri hapo kwetu. Maana suluhu ya 0-0 hapo kwao inawapa advantage wakija kwetu, suluhu ya 1-1 hapo kwao maana yake suluhu ya 2-2 etihad tumetoka. Tushinde kwa big margin hapo kwao au suluhu ya 4-4 hapo kwao itakuwa pop.Hope spurs watatunyamazishia watu humu[emoji23][emoji2]
Hahhaa asante sana mkuu tukutane fainaliNyinyi majambazi hongereni kwa kupita semi final
Wale watt wanacheza mpira mwepesi sana na waakili na waposokoniCR7 vs ajax
Tafakari vzr.Hope spurs watatunyamazishia watu humu[emoji23][emoji2]
Ikianza kwaio ndio vzrHii game ilitakiwa ianzie pale etihad ili tukienda kwao tunajua cha kufanya, ikianzia kwao ikaja kwetu wanajua cha kufanya. Ila tukiwapiga goli 4 hapo kwa itatupa njia nzuri hapo kwetu. Maana suluhu ya 0-0 hapo kwao inawapa advantage wakija kwetu, suluhu ya 1-1 hapo kwao maana yake suluhu ya 2-2 etihad tumetoka. Tushinde kwa big margin hapo kwao au suluhu ya 4-4 hapo kwao itakuwa pop.
Tukianza kwetu tukapigwa goli 2, tunakuwa tunajua tunaenda kufanya nn kwao. Unakuwa unajua unaenda kutafuta goli tatu au zaidi. Ila ikianza kwao inakuwa advantage kwao.Ikianza kwaio ndio vzr
Ilituwapige ugenini, nyumban kieleweke.
Pia itakuwa inachezwa kwenye ule uwanja wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehhehehe thats sureHapauzwi mtu our BOSS can pay PEREZ as his house boy
Hahah Kweli ni wewe unaongea hayo maneno?Hope spurs watatunyamazishia watu humu[emoji23][emoji2]