goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhahaaaa kesho anao mziki wa Tot.Mechi kama hii mwana liver anakaa anajipa moyo kwamba city atapoteza.
Ni upuuzi wa hali ya juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya liver ngum sana.
Asante kwa mchango wako mkuu.Leo mtapigwa 2-1 au mkijitahid sana basi draw. Goli moja la fuhlam ni la penati dakka za majeruh
Ndio takwimu zimeonyesha hivyo sasaLooool
Sane anamzidi Valencia kwenye sprint?!!!
Nikweli mkuuPep ni kocha asee
Ndo vzr.Leo liverfool anagongeshwa
Uyo jamaa atakuwa anatatizoAsante kwa mchango wako mkuu.
Kuna mwingine mwenye neno la kutoa?
Hahah sidhani Kama ni tatizo Sanaa zaidi ya ushabiki tu...
Jamaa nimemshindwa kwa ubishi.Ndio takwimu zimeonyesha hivyo sasa
Hahah anabisha wakati yeye hataki kuleta chanzo cha takwimu zakeJamaa nimemshindwa kwa ubishi.
Awa ndo wanabishana na taarifa ya habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu jamaa nataman angekuwepo sasaNimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Ningekuepo wapi?