Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Na mmelipata dakika ya 70Ngumu kuwa draw apa nasubiri line ups,
Mchawi wetu ni vardy leo.
Ila ushindi lazima.
Ubaya pale tutakapokosa goli mpaka 70' apo pressure inakuwa kubwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mmelipata dakika ya 70Ngumu kuwa draw apa nasubiri line ups,
Mchawi wetu ni vardy leo.
Ila ushindi lazima.
Ubaya pale tutakapokosa goli mpaka 70' apo pressure inakuwa kubwa sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] game iishe
dakika zilezile sasa tutawale gameNa mmelipata dakika ya 70
We are champion again.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ana ukudaUkweli siku za hivi karibuni akili za Sane ka sizielewi elewi
Anagonga sana atakuwa uyu doogo.Ukweli siku za hivi karibuni akili za Sane ka sizielewi elewi
Kabisa anacheza kama tuna goli zaid ya mbiliUkweli siku za hivi karibuni akili za Sane ka sizielewi elewi
Sane mapenzi mengi siku izi.Kabisa anacheza kama tuna goli zaid ya mbili
Mr. Michozi sio machozi.Liverpool machozi tupu .
Kesho ndo wanazikwa kabisa.Mr. Michozi sio machozi.
Hii game ina pressure sana kwao
It is enough hakuna wa kumzuia city kubeba ndoo.One goal is not enough.