Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Hii game tukichomoka daaaaa
Tik tak style imepotea kabisa
Tunabutua butua tu
Tik tak style imepotea kabisa
Tunabutua butua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UEFA ya tandale auHuu msimu pep inatakiwa achukue uefa
Nyie Chelsae msimu huu mnayumba yumba tuUEFA ya tandale au
Bernado chuma hiki [emoji91]Uyu jamaa mtamu sanaView attachment 1658455
Kdb ni ndoto ya kila mtuFerrane Torres uyooView attachment 1658454
Awa jamaa hamna kituNyie Chelsae msimu huu mnayumba yumba tu
Kiufupi hamjielewi mnataka nin
Epl hamuwez
Uefa mnalialia
Sasa mnataka nini
Bad News!!!!Walker na jesus wamekumbwa na covid
Hizi game afe beki afe kipaWatamiss game ya Newcastle, everton na Chelsea
Mjiandae kuoga goli za kutosha.Watamiss game ya Newcastle, everton na Chelsea
Hivi hujui bingwa wa UEFA msimu huu anatokea London? Soma alama za nyakati mkuu..Nyie Chelsae msimu huu mnayumba yumba tu
Kiufupi hamjielewi mnataka nin
Epl hamuwez
Uefa mnalialia
Sasa mnataka nini
Landon ya buza labda [emoji91]Hivi hujui bingwa wa UEFA msimu huu anatokea London? Soma alama za nyakati mkuu..
Kocha wako akikutana na kocha mwenye mbinu nyingi kama Ancelotti hapati matokeo. Mtapigwa leo.Huyu everton leo anakufa
Bila wasiwasi