The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

1st goal. De brune
1615926361063.gif
 
Nyie UEFA huwaga hamnaga chenu. Nyie ni timu ndogo sana carabao ndobmakombe yenu.
 
Kuhusu chelsea kumpelekea moto semi final fa ,sina wasiwasi kabisa ...

Huko Chelsea alipo anajuta kukutana na watoto Wa mjini Manchester..

ila kuhusu uefa Mimi binafsi nasema sitashangaa kumuona pep akiaga mashindano ,ila kama atakuwa ametupa EPL ,fa ,carabao ni nzuri ...


Spurs ..


Lyon ...

Sasa Dortmund ..

pep kuvuka robo final uefa ni mtihani ,sijui kama ameshajua anakoseaga wapi ..
 
ilikuwa 2017 ,uefa round ya 16

Man city vs Monaco ( enzi mbape na kina fabi ,falcao wapo )


Pep kama kawaida alishinda 5-3

Tulivoenda Monaco ,ndio nikajua kuwa kocha wetu linapokuja swala na knock out stage ,basi mbinu zinamwishia ,sikutegemea kabisa kwa iyo aggregate tungeweza kutolewa uefa ...

Mbape akaweka kambani dakika ya 8 ..

Nikajua sio shida ,maana aguero ,sterling ,sane ,kdb walikuwa moto ..

Mara fabinho wayaa dakika 27 ...


Aisee sane akatuokoa ,maana aggregate ilikuwa 5-5 ...


Siku nilipomchukia otamend ,mwanaharamu yule alipuuzia Mpira wa kichwa ,ukatua kichwani mwa bakayoko na kutupia goli aggregate 6-6 ,tukatolewa kwa goli LA ugenini ...

Kilichofuata baada ya hapo ,pep kufika semi final uefa imekuwa sawa na punda kupita kwenye tundu LA sindano ...
 
Back
Top Bottom