Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata angekuwa bayern angekaaKweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Si kwa magoli mepesi namna ile, ni bora nilijikalia zangu home mapema kutokwenda kupoteza jero bure kwenye vibanda umiza, maana hakuna uzuri wowote wa UEFA ligi hii ya leoAta angekuwa bayern angekaa