Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumbueni tu ila kwa Pep hamtokiHahahahaha tutasumbua week mzima hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulipowafunga sita bila alikuwepo pia usisahauKazi mnayo Man City ya kumdhibiti mtu mmoja kwa watu wawili.
[emoji116]
The whole team were absolutely superb over both games and ended up deserved winners against a giant of European football in Real Madrid.
But there was once again another Man of the Match performance from the robot human that is N’Golo Kante. When people say it is like having two players on the pitch when he plays, that is literally a fact!
Kante was colossal for Chelsea again last night and deserved his award, but as always he stays Mr humble, and it is left for his team mates to give him the praise he deserves.
Timo Werner nae hakua nyuma kumwagia sifa Kante [emoji1787][emoji23][emoji38] yaani ukiwa na Kante unakua unacheza na watu wawili zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116][emoji116]
“N’Golo is always really important for us. He’s a beast, to win the ball and fight and run all over the place. The manager tells us every time he is playing that we play with two players.
“He’s a really good guy, plays so good, and also last night how he ran next to me and created a chance and also when he ran with the ball, gave a pass to Christian at the second goal. He’s so important to us and I’m very glad we have him in our squad.”
Pep will take care of ChelseaGame ya city na Chelsea tuwaheshimu Chelsea tu kwa vile ni final ,ila kuhusu uwezo wa wachezaj city haikamatiki ...
Kiufupi Chelsea hana uwezo was kuifunga city unless otherwise mambo mengine yatoke ,hata wao wanajua sema wamekaza ubongo tu ...!
Wewe Chelsea ya lampard ndo ilikuwa saizi yako ..hii ya sasa ni mwiba kwa Kila timuGame ya city na Chelsea tuwaheshimu Chelsea tu kwa vile ni final ,ila kuhusu uwezo wa wachezaj city haikamatiki ...
Kiufupi Chelsea hana uwezo was kuifunga city unless otherwise mambo mengine yatoke ,hata wao wanajua sema wamekaza ubongo tu ...!
Pep mwenyewe anaelewa mkizi mzito ulioko mbele yakeSumbueni tu ila kwa Pep hamtoki
Game ya city na Chelsea tuwaheshimu Chelsea tu kwa vile ni final ,ila kuhusu uwezo wa wachezaj city haikamatiki ...
Kiufupi Chelsea hana uwezo was kuifunga city unless otherwise mambo mengine yatoke ,hata wao wanajua sema wamekaza ubongo tu ...!
Chelsea kuna beki pale ,hivi nyie Chelsea mna kitu gani hasa cha kuitisha city ..Unaongea tu kama unatiwa ukuni
Kwanza nikuulize umepata mbinu ya ku unlock beki za Chelsea? Ama una jamba jamba tu
Wewe nakujua ,tukiwapiga utapotea hapa wiki nzima ,utarudi final kuza kupayuka tena ..Nyie mambun'go bado mmelala, Leo mna game na Chelsea hahaha mtapata tabu Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipigo Cha leo kitakuwa ni mfano tu wa kipigo Cha fainal utakachopokea hapo Instanbul ..
Leo tunacheza Kama tuko fainal maana naskia mnatangaza ubingwa ..Sasa ni Bora huo ubingwa mkatangazie uko Buza kuliko mtangazie mbele yetu.
Leo ndo mtajua hamjui na Kipigo Cha leo kitaleta picha kamili maana mutaanza kupaniki mapema tu..
Kuhusu fainal ya UEFA Sina wasi wasi kabisa maana itakuwa ni final nyepesi kwa Chelsea kutokea tangu kuanzishwa kwa michuano ya UEFA. Na Hilo Kila mtu anajua.
Kwani hamuyiogopi Chelsea??
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
yan unasimuliw mpir alaf unatoa tathmin hngr mzee una kchw kzr..!!Chelsea kuna beki pale ,hivi nyie Chelsea mna kitu gani hasa cha kuitisha city ..
Natudia tena ,Chelsea inacheza tu kwa morali ila haina wachezaji wenye uwezo na ubunifu uwanjan kama city ..
Chelsea ni underdog tu ,Hanna kikosi chochote cha kuitisha city ..
Mkuu huo ndio ukweli ,Chelsea ni timu inacheza kwa morali tu ,takwimu hazidanganyi ,tukiweka hapa uwezo na ubunifu wa wachezaji uwanjan ,utaona namna gani city ni timu kubwa tu ..yan unasimuliw mpir alaf unatoa tathmin hngr mzee una kchw kzr..!!
Huyo ni mchoma mahindi wa manzese mkuuMnamjua pulisic nyie