baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,884
We ropoka tu mbele ya Mabingwa wa Ulaya ilihali hauna hata kakombe ka UEFA ka1[emoji2]
kwani kombe la uefa limefutwa si bado lipo so one day yes[emoji1316]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ropoka tu mbele ya Mabingwa wa Ulaya ilihali hauna hata kakombe ka UEFA ka1[emoji2]
Huna lingiñe la kupost ...Champions of Europe View attachment 1952606
Hii record tumeshavunja ,city unbeaten for 18 games
Na bado man utd tunasubiria bahati...
umepakatwa umekaa kimya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kama uongeag vile[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1956083
Wewe kunguni mshapigwa viwili huko.... Jitokeze haraka sana[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1956083
Leo umepewa cap bila ubishi, kweli hili litimu ni utopolo uliochangamka[emoji1787]Ukiona mwanao anakuletea matokeo ya mitihani ya mihula ya nyuma na kuficha ya wakati uliopo, huyo toto jinga chalaza bakola za kutosha ili akawasimulie na wenzake.