Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani hakikisheni Yale makuku mnayala Hadi mifupa Yani hamuna kutupa kitu Hadi manyoya kulaaSisi lengo letu ni kuharibu atmosphere ya anfield jumapili ...
Ze cityzen
Tumeshawapa mtihani, wakidroo tunaongoza table jumla!Yani hakikisheni Yale makuku mnayala Hadi mifupa Yani hamuna kutupa kitu Hadi manyoya kulaa
Wakizingua ndio Basi Tena ..tukutane may 2022Tumeshawapa mtihani, wakidroo tunaongoza table jumla!
Liverpool anaenda kuchezea kipigo cha mbwa Koko ...!Wakizingua ndio Basi Tena ..tukutane may 2022
Yani hakikisheni Yale makuku mnayala Hadi mifupa Yani hamuna kutupa kitu Hadi manyoya kulaa
Sterling ni kipenzi cha pep ,sitashangaa kumuona leo [emoji23][emoji23][emoji23]Pep inabidi leo aache overthinking apange kikosi cha ushindi
1Ederson
2walker. 4laporte 5Dias 3cancelo
6Rodri 8B silva. 10 De bruyne
7 Mahrez. 9 Jesus. 11 Grilish
hiki kikosi uwa nakiaminia sana kuliko akianza sterling
Kazee kakubinua tumatak00Sterling ni kipenzi cha pep ,sitashangaa kumuona leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo kwa mahrez akae foden ,Pep inabidi leo aache overthinking apange kikosi cha ushindi
1Ederson
2walker. 4laporte 5Dias 3cancelo
6Rodri 8B silva. 10 De bruyne
7 Mahrez. 9 Jesus. 11 Grilish
hiki kikosi uwa nakiaminia sana kuliko akianza sterling
Hapo kwa mahrez akae foden ,