Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Grealish tatizo lake hajitumi tu ....mguu wa shingo mguu wa roho, huyo muingereza SHAW anang'aa sharubu tu hadi kipa wake anabamizwa la pili na #PureClassBernardo...kiukweli waingereza ni wabahatishaji sana 70% yao ni overrated tukianzia yule SHAW. MAGUIRE n.k...mimi ata yule grealish wa astonvilla simuoni makali yake hapo city.
Mimi kwa wachezaji wote city ,bernado ndio anajituma kwa Kasi kubwa ,kukimbia ,kupanda na kushuka ,....