The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Sijui kwanini hii game pep kaiua kirahisi hivi .....


Chelsea walistraggle kupata matokea kwa leeds ,ila sisi tumejipigia kama tunacheza na gwambina[emoji28][emoji28][emoji28]
Na tatizo la hao chelsea wamekuwa na maneno mengi alafu viwango vya wachezaji wao vimesashuka...maana sio kustruggle tu bali walipewa na pelnaty mbili ili tu kupata point tatu kwa LEEDS.
FireShot Capture 093 - CHE 3-2 LEE - Chelsea - Leeds - Match Summary - www.flashscore.com.png


Kwa ile kazi ya jana itakuwa wameshaelewa si kwamba LEEDS wako vizuri hadi kuwasumbua wao ispokuwa kwasasa timu yao ishapoteana ndo maana walipat taabu sana kwa leeds,
FireShot Capture 094 - MCI 7-0 LEE - Manchester City - Leeds - Match Summary - www.flashscore....png
 
Sitasahau ile game last season yaan leed walikuwa na red card bado wakatufunga aisee....

Nadhan ndio kipind pep alianza kumchukulia bielsa serious ..

Last season tuliambulia point 1 tu ,ndio maana game ya Jana Toka kwenye press pep alionesha kumheshimu Marcelo bielsa ,na game ikawa rahisi kabisa ...

Hawa leeds walimkazia Chelsea hatari ,kupata goli 7 kwao si simple kabisa ..
Na pep kwenye post-match conference amesema kwamba mwaka jana city walipoteza point 5 kwa leeds united "But this time arround...I won't let that Happen"....na lile ni onyo tu amepewa bwana Bielsa!
 
Na tatizo la hao chelsea wamekuwa na maneno mengi alafu viwango vya wachezaji wao vimesashuka...maana sio kustruggle tu bali walipewa na pelnaty mbili ili tu kupata point tatu kwa LEEDS.
View attachment 2045013

Kwa ile kazi ya jana itakuwa wameshaelewa si kwamba LEEDS wako vizuri hadi kuwasumbua wao ispokuwa kwasasa timu yao ishapoteana ndo maana walipat taabu sana kwa leeds,View attachment 2045017
Jana Hadi ake kafunga ....

Kusema kweli katika defender ambo nikiwaona first eleven naogopa ni Nathan ake ...

Daaa yaan Sina amani kabisa nikimuona kikosini ,hayupo vzuri kupiga penetration pass ,hapandi kwa nguvu juu kama walker ,kusababisha penalty ni dakika zero ....ila anazid kuemprove kila kukicha ,inanaonekana pep Kuna kitu anakiona kwake .,...


Harafu Jana dias - stone - Laporte wameaanza pamoja hahaaaa
 
Jack alikuwa anaandamwa Sana kuwa tumejasili £100million kukaa bench ....

Mimi nakwambia grealish atakuja kuwa Moto ,this season kaanza slow ,nadhan Bado anatengeneza patttern nzuri na wachezaji ...lakin Bado yupo vzuri kabisa jack tumpe muda ....

Insta nilikuwa nikiingia kwenye page ya city kwenye comment maraa ohh plealse sell jack in January...
jamaaa atakuja tu kuingia kwenye system siku si nyingi...Kumbuka rodri alivyotokea atletico alipwaya pale kati hadi gossip za kina RICE zikawa nyingi kuwa wanawez kuja pale etihad maana yeye hajafit, lakini ni wazi kuwa anzia katikat ya msimu uliopita hadi sasa yupo🔥🔥🔥...na kama siyeye kublock ule utopolo wa fabhi ungekuta sahivi LIVER yupo juu yetu kwenye msimamo.
 
UNAAMBIWA "CITY INFLICTED THE BIGGEST DEFEAT LEEDS HAVE EVER SUFFERED IN THE COMPETITION"....inamaana kuwa leeds hajawai pata kipigo kile tokea awe mshiriki wa EPL...na zile zilikuwa 8 ila goli la foden moja was roled Offside!

FireShot Capture 095 - Manchester City 7-0 Leeds United_ De Bruyne leads rout as Guardiola's_ ...png
 
KWA CITY HII YA PEP...UKIWA PALE RECORDS ZINAKUFUATA TU ATA UZIKATAE...KILICHOBAKI PALE KWA VIJANA IS TO CONQUER CHAMPIONS LEAGUE TROPHY.
f5539757-b230-4df5-a50d-1039d2c9b13c.jpg


1b174c58-2c16-491b-9ba4-721402b84b85.jpg
 
KWA CITY HII YA PEP...UKIWA PALE RECORDS ZINAKUFUATA TU ATA UZIKATAE...KILICHOBAKI PALE KWA VIJANA IS TO CONQUER CHAMPIONS LEAGUE TROPHY.
View attachment 2045046

View attachment 2045047
Mkuuu tukifika CL huwa karata zetu zinaangukia kubaya ,pep anatakiwa kuchanga karata zake upya huu msimu japo ushindani ni mkubwa Sana ...

Sijajua tunafeli wapi kwenye CL siwezi jilaumu final tuliyopoteza dhidi ya Chelsea ,japo ndio ilikuwa final nyepesi kabisa .....

This time Kuna ushindani mkubwa Sana kwenye CL ,buyern , Liverpool ,real Madrid wapo Moto kweli kweli .........! Let us see this time itakuaje..
 
Kikosi chetu kizima kina wachezaji wenye hamu ya kuwin CL ,nahisi ndio wimbo wa pep kwenye dressing room kabisa ....!

Japo kuwin CL Kuna bahati wacha tuone huu msimu ,
 
Mkuuu tukifika CL huwa karata zetu zinaangukia kubaya ,pep anatakiwa kuchanga karata zake upya huu msimu japo ushindani ni mkubwa Sana ...

Sijajua tunafeli wapi kwenye CL siwezi jilaumu final tuliyopoteza dhidi ya Chelsea ,japo ndio ilikuwa final nyepesi kabisa .....

This time Kuna ushindani mkubwa Sana kwenye CL ,buyern , Liverpool ,real Madrid wapo Moto kweli kweli .........! Let us see this time itakuaje..
pamoja na yote bado naona tuna kikosi kizuri ukiiacha bayern hakuna tembo mwingine wa kututisha kule isipokuwa nahisi ILE ART YA GUARDIOLA YA KUCHEZA BILA TRUE NO.9 ITAKUJA TUADHIBU KWENYE UEFA....ILA KWA PLAYERS SPIRIT IPO JUU NO PROBLEMS UKIZINGATIA HAKUNA INJURIES SIDELINED KWASASA....Let's wait and see if they can conquer it.
 
nimeiona hii news kiukweli inauma sana ukizingatia bado alikuwa anahitaji kutafuta pesa kupitia soccer maana kwa umri wake bado angeweza endelea kucheza soka ila yeye anahitaji na mungu amepanga kwamba career yake ndo iishie hapo, nitafurahi kama pale Etihad watamrudisha katika nafasi yoyote ata kama ni mafunzo apitie sawa then wampe ata ukocha wa U18 ili aendeleze maisha smoothly...Dah!
 
nawaza ata kipindi kile pale watu walipokuwa wanalalamika kwamba kwanini city wanamuachia aende uku bado anauwezo wa kufunga pia kuna mastiker wakali bado wanacheza na umri mkubwa kuliko yeye na wanaperform...Huenda medical team ya pale etihad walishaliona ilo tatizo labda ukiacha pia kuwa injury prone.
 
nimeiona hii news kiukweli inauma sana ukizingatia bado alikuwa anahitaji kutafuta pesa kupitia soccer maana kwa umri wake bado angeweza endelea kucheza soka ila yeye anahitaji na mungu amepanga kwamba career yake ndo iishie hapo, nitafurahi kama pale Etihad watamrudisha katika nafasi yoyote ata kama ni mafunzo apitie sawa then wampe ata ukocha wa U18 ili aendeleze maisha smoothly...Dah!
Lile goli lake tu ...

Aguerooooooooooooo...

90+3min

City lift epl trophy ...

Unforgettable
 
nawaza ata kipindi kile pale watu walipokuwa wanalalamika kwamba kwanini city wanamuachia aende uku bado anauwezo wa kufunga pia kuna mastiker wakali bado wanacheza na umri mkubwa kuliko yeye na wanaperform...Huenda medical team ya pale etihad walishaliona ilo tatizo labda ukiacha pia kuwa injury prone.
Yaaah ,pia alikuwa ameahidi kuwa ataondoka city ametuachia CL ,kitu ambacho hajabahatika kutimiza .....

Any way atabaki kuwa legend wa man city forever
 
[emoji1033] Sergio Leonel Agüero, A Legend Of World Football.

[emoji170] 390 Appearances
[emoji153] 27,1816 Minutes Played
[emoji460]️ 260 Goals
[emoji91] 65 Assists
[emoji238] AGÜERO Moment

[emoji471] 5 Premier Leagues
[emoji471] 1 FA Cup
[emoji471] 6 League Cups
[emoji471] 3 Community Shields

[emoji966] 7 Premier League Player Of The Months
[emoji966] 2 Manchester City Player Of The Years
[emoji966] 2 Premier League Team Of The Years
[emoji460]️ 1 Premier League Golden Boot

#mcfc
_man.city_army_-20211215-0001.jpg
 
Moment za aguero ambazo hata yeye binafsi hawezi sahau ni msimu wa 2011/2012 kwenye game na QPR.....

Huu ni msimu ambao nadhani project ya sheikh mansour ilikuwa inaanza huku Robert mancin akiwa kwenye ubora wake ,ni msimu ambao city ilikuwa inafanya sajili kubwa kubwa huku ikionesha project nzuri na endelevu .........

ilikuwa city iliyokuwa inasajili wachezaji mastar ,kina Silva ,dzeko ,ballotel ,aguero ,nasri ,robiho,vicent kompany,....Walitua city

ballotel na utukutu wake wote ile game na QPR alikorofishana na mchezaji mmoja wa QPR aisee nilijua ballotel anaenda kula red ,lakin huwezi Amin ballotel alitulia ,na akawa mpole yule mchezaji akala umeme pekee yake ...!

Huwezi Amin ballotel katika historian yake ya mpira pale city hakuwa kutoa assit ,lakin siku hiyo ndio assit aliyotoa kwa aguero na kumaliza game ....

Ni msimu ambo united hawatakuja kusahau kwenye historia ya mpira ,kwani ile siku man UTD walikuwa wameshashinda game vs sanderland huku wakisubili kombe la epl kulichukua , wakiwa wanajiandaa na sherehe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....

Ndege iliyokuwa imebeba kombe ilikuwa ipo angani haijui la kufanya iende OT au etihadi !!!! ...lakin rubani alikuwa ameshapigiwa simu apeleke kombe OT ,.....

Wakati man city tukiwa tunatapatapa hapa na pale ,90min ,zimeishia ,zikaongezwa tatu .....2min zikaisha ...3min ikafika ........daaaa muda huo tunawachezea nusu uwanja , QPR wamepaki bus hatari ,ingekuwa kibongo bongo tungesema wale jamaa wametumwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...mpira unatoka nje ,nasri anakimbilia haraka ,anaurudisha uwanjani ,zinapigwa pass hapa na pale ,ndani ya box ,fans wote wa city wamenyanyuka hawaelewi kinachotokea kabisa uwanjan ......super Mario ballotel anatoa assit ya kwanza kwa aguero kwenye angle ngumu ,aguero anaweka kamban ....90+3min ...aguerooooooooooooo!
City tunachukua epl kwa mara ya kwanza .....

Mancin ndio akavunja utawala wa furgason pale epl ,kuanzia hapo city ilianza kutoa kipigo cha mbwa Koko msimu unavoanza huku mansour akizidi kuimalisha management ,mara pep guardiola akatua Etihad .....!


Unajua Nini kilifuata , furgason ndio alikuwa akitawala pale England ,na ulikuwa huwezi sema chochote kuhusu united ,mpaka leo pep anazidi kutembeza kichapo ...mpaka Sasa united hawaamin kuwa wameshatolewa kwenye mbio za kuchukua epl Kwan tumebaki wanaume wawili tu Liverpool na city kwa Sasa .....Toka kipindi hicho tumebeba epl mara 5 kuzidi timu zote za england ....

2011-2012 -epl

2013-2014.

2017-2018.

2018-2019.

2020-2021....yote haya kachukua Sergio Kun aguero



And we are attacking the title 2021/2022...

This is our city
View attachment 2045440
 
Lile goli lake tu ...

Aguerooooooooooooo...

90+3min

City lift epl trophy ...

Unforgettable
nakumbuka ndugu dhidi ya QPR watoto walikaza sana dakik ya majeruh wakaachia, msikie martin taylor alivyokuwa na morale hapo akitangaza most Iconic goal in histoty of Man City under roberto mancin...nakumbuka taylor alimpamba sana mancini akisema a 3-title winner in italy let see if he can do it in england...hiyo match ilitupa epl 2012. qpr walikuwa na jamaa moja linaitwa zamora, Taiwo huku city ikiwa na kina tevez, nasir, d.silva and co.

 
Back
Top Bottom