Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Bila shaka wewe unapanuliwaLakin hamkujitapa mnakikosi kipana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka wewe unapanuliwaLakin hamkujitapa mnakikosi kipana?
Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.imagine tumetoka nusu final dunia nzima inatuzungumzia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Big club in the world
This is Manchester city baby
Come on city
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Hakuna ba haters wala nini nyie underdogs inapokuja uclTunawahitaji haters wengi kama nyie karibuni Sana [emoji28]
Tunataka wengine zaidi
Asernal haina ubig wowote hawana ucl labda wana uwanja mkubwa[emoji1787][emoji1787]Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Tunazungumzia big club pale England hatuzungumzii mafanikio ya UEFA hapa kwa hilo huwezi kuitoa Arsenal.Asernal haina ubig wowote hawana ucl labda wana uwanja mkubwa[emoji1787][emoji1787]
Sasa hapa umeongea nini ,hivi huko shuleni ulienda kusomea ujinga Nini ....Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Usiongelee team za kifala united na arsenal na Team kubwa kama city .....mateam ambayo yanastruggle kupata top four unalinganisha na team ambayo ikichukua PL haioni kama mafanikio tena kwani tuko mbali Sana [emoji28]Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Wewe mbwa team yako ni ipi nisiwekuwa nabishana na kenge wa arsenal au man utd [emoji28][emoji28][emoji28]Hakuna ba haters wala nini nyie underdogs inapokuja ucl
Ndiyo kufeli wenyewe huku sasaUkisema haiwezi UEFA ni kama unamdharau Pep[Anazo mbili] sema ameshindwa kuipa Man City UEFA Kama ilivyotazamiwa hapo awali Kama ambavyo alishindwa kuipa Bayern Munich.
Wewe shabiki wa arsenal unapata wapi ruhusa ya kuchangia kwenye team kubwa kama hii the cityzen ?, Unapata wapi ubavu wa kuingia humu kwa machampion? Unapata wapi nafasi ya kutmtype neno " arsenal " humu ndani ...?Tunazungumzia big club pale England hatuzungumzii mafanikio ya UEFA hapa kwa hilo huwezi kuitoa Arsenal.
Sasa kabla ya Game ulivyokuwa unatutambia ulikuwa huyajui haya?Lazima tucheze final nyingi Sana ili tuwin CL 1 ,Mimi binafsi nashangaa watu wanavosikitika kama wanataka kujiua kisa semi final kutolewa ,moment kama hzi kwenye football Tena zaidi ya hizi zinapitiwa Sana na club kubwa zote dunian ...
Kloop katinga final 3 CL lakin kawin 1 mpaka Sasa ,ulishawaza maumivu ya kukosa hizo mbili ?
Unajua maumivu ya liverkuku kukosa final 2018 kisa karius ? Hapa Kuna mtu alijinyonga kabisa [emoji28]
Unajua maumivu ya Barcelona kupigwa comeback ya 3-0 na liverkuku ?
Kuna moment kibao tu za football, kama unafuatlia mpira kitu kama hicho sio cha kukaa na kulialia [emoji23] tofauti na hapo labda ushabikie mieleka [emoji23]
Ze cityzen we have to move on , focus in PL ,...! it's over
We go ...!
Umeanza matusi sasa [emoji23][emoji23]Bila shaka wewe unapanuliwa
Kwi Kwi Kwi Kwi [emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli mana liverpool wameondolewa kwenye ligi kuu.
Pale hatuzungumzii Man City bali tunamzungumzia Pep lakini yeye anaona kama tunamzungumzia Man City [emoji23][emoji23]Big club pale England ni mbili tu Manchester United na Liverpool zikifuatiwa na Arsenal na Mwisho Chelsea timu zingine zote ni takataka tu Kama mitimu ya ufaransa na ukiona watu wanaizungumzia Man City ni kwasababu ya Pep tu.
Unaukubwa gani wewe ,hivi liverpool mnaweza kusema mnacheza uefa kweli ?Sasa kabla ya Game ulivyokuwa unatutambia ulikuwa huyajui haya?
Mbona tulikufahamisha vizuri tu kuhusu haya lakini ukakaza fuvu na hoja zako za Possession football halafu leo unajifanya ndiyo unatuhubiriiiiiaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hapa hatuhami mpaka museme mumekoma kujitapa mbele ya Wakubwa wenu [emoji23][emoji23]
Soma title ya Uzi hapo juu ,ndio maana shuleni mlienda kupoteza muda na kusomea ujinga ,Kuna Uzi hapo juu umeandikwa pep giardiola FC [emoji28][emoji28][emoji28]Pale hatuzungumzii Man City bali tunamzungumzia Pep lakini yeye anaona kama tunamzungumzia Man City [emoji23][emoji23]
Anyway mimi bado sijaelewa kwanza hiyo Man City ni nini? Au ile movie ya kutisha ya Tom Cruise ndiyo inaitwa Man City? Msaada tafadhali.
Sasa Bayern na Juventuskutolewa njiani na Villarreal unalifanya kama ni kosa letu wewe Vipi [emoji23][emoji23]Unaukubwa gani wewe ,hivi liverpool mnaweza kusema mnacheza uefa kweli ?
Kwanza njia yenu kufika final ni ya kilocal Sana ,unacheza na villareal,benefica ,sijui intermillan unaakili wewe ?
Hayo ni matimu ya kuja kututambia et umefika final kweli ...!
Hiyo njia ya kichochoroni uliyopita ndio itakufanya upigike mapema final ,uefa haiwezi chukuliwa na mandezi kama nyie mnaocheza Europa na kuibuka final ya CL [emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa hiyo Title ya Uzi si imeandikwa tu Man City? Mimi najuaje kama Man City ni Timu ya Mpira au ni kikundi cha Ngoma kama Sikinde? Kwa ufupi tu mimi nimeingia kwenye huu uzi kwasababu nakitana na stori za Pep na si jengine.Soma title ya Uzi hapo juu ,ndio maana shuleni mlienda kupoteza muda na kusomea ujinga ,Kuna Uzi hapo juu umeandikwa pep giardiola FC [emoji28][emoji28][emoji28]
Mashabiki wa liverpool ni mandezi kiasi hiki ooooh my God...!
Nisije kuwa nabishana na kilaza level za stg shittttt[emoji28]
Unazidi kuonesha ujinga wako hadharani mpaka huruma .....Sasa hiyo Title ya Uzi si imeandikwa tu Man City? Mimi najuaje kama Man City ni Timu ya Mpira au ni kikundi cha Ngoma kama Sikinde? Kwa ufupi tu mimi nimeingia kwenye huu uzi kwasababu nakitana na stori za Pep na si jengine.
Kuhusu Man City utajua mwenyewe kuwa ni kitu gani [emoji13][emoji13]
Mandezi kama nyie hamuwezi chukua CL kiivo mzee [emoji28][emoji28] labda ukacheze final Europa na rangers huko maana ndiko ulikopitia [emoji28]Sasa Bayern na Juventuskutolewa njiani na Villarreal unalifanya kama ni kosa letu wewe Vipi [emoji23][emoji23]
Si wangepambana ili wasitokewe hao kina Bayern ili tuwakute! Kiufupi Tumempiga nje ndani mbabe wa Bayern na Juventus na wewe unajua hilo hutaki tu kukiri ukweli [emoji13][emoji13][emoji13]