The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Oyaaaaa wewe shabiki wa arsenal hivi unapata wapi mamlaka ya kuja humu ?

Mods toeni hii takataka humu ndani ...!

Arsenal unakuja humu kufanya nini ,?????

Ukifuzu CL ndio utaruhusiwa kujibishana na sisi sawa dogo [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wewe shabiki wa arsenal tunakusheshimu tafadhari tafuta Uzi wa Spurs na westham mdiscus namna ya kuqualifie CL ...!

Humu ndani hakuna nafasi yako kabisa ,vinginevyo tutakuchukulia hatua Kali Sana za kisheria ...!

Hii ni kutokana na sheria za jf ,kifungua namba 3,ibara ya 23b

" kama timu yako haichezi CL (arsenal,Spurs ,westham ) huna mamlaka ya kuingia Uzi wa Manchester city kutype neno lolote, hatua Kali za kisheria zitachukuliwa "
 
Pale hatuzungumzii Man City bali tunamzungumzia Pep lakini yeye anaona kama tunamzungumzia Man City [emoji23][emoji23]
Anyway mimi bado sijaelewa kwanza hiyo Man City ni nini? Au ile movie ya kutisha ya Tom Cruise ndiyo inaitwa Man City? Msaada tafadhali.
Huyu dogo ni kima hakuna anachojua mkuu.
 
Wewe shabiki wa arsenal tunakusheshimu tafadhari tafuta Uzi wa Spurs na westham mdiscus namna ya kuqualifie CL ...!

Humu ndani hakuna nafasi yako kabisa ,vinginevyo tutakuchukulia hatua Kali Sana za kisheria ...!

Hii ni kutokana na sheria za jf ,kifungua namba 3,ibara ya 23b

" kama timu yako haichezi CL (arsenal,Spurs ,westham ) huna mamlaka ya kuingia Uzi wa Manchester city kutype neno lolote, hatua Kali za kisheria zitachukuliwa "
Screenshot_2022-05-06-16-56-45-40.jpg
kajifunze maana ya big club kwanza.
 
Yaani mtu kakaza fuvu na picha za kimamluki et arsenal [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oyaaa ona aibu basi ,humu ndani tunaongelea CL ..!

Mbona unajiabisha kijana
 
Yaani mtu kakaza fuvu na picha za kimamluki et arsenal [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oyaaa ona aibu basi ,humu ndani tunaongelea CL ..!

Mbona unajiabisha kijana
Unaongelea champion league ambayo ndani ya dakika zisizozidi tatu umepigwa kamba mbili tena na mtu mmoja aisee na champion league yenyewe umeanza kucheza sijui 2012 na by the way Arsenal hatuna pesa za mafuta, tuna kocha wa kawaida na wachezaji wa kawaida lakini mambo yanasonga still big club na haina plastic fans.
 
Yaani mtu kakaza fuvu na picha za kimamluki et arsenal [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]oyaaa ona aibu basi ,humu ndani tunaongelea CL ..!

Mbona unajiabisha kijana
Madrid amekuonesha kuwa pesa za mafuta ni upuuzi tu the same alivyomuonesha PSG na bado Liverpool yupo nyuma yenu.
 
Madrid amekuonesha kuwa pesa za mafuta ni upuuzi tu the same alivyomuonesha PSG na bado Liverpool yupo nyuma yenu.
Katika timu ukizotaja hapo juu umeiona arsenal ?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

This is Manchester city baby [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]

Siku zinakuja na utakiri kwa kinywa chako kuwa "Manchester city ni bwana na mwokozi wa maisha yako "

Biggest club in the world
 
Hata hivyo kipigo kimewasaidia kuukimbiza uzi Hadi Sasa uzi umekaribia comments 17 elfu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata hivyo kipigo kimewasaidia kuukimbiza uzi Hadi Sasa uzi umekaribia comments 17 elfu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huu ni Uzi unafuatiliwa na Wana jf wote ,sema wanapita kimya kimya ....!

Timu la dunia wewe...!
 
Lazima tucheze final nyingi Sana ili tuwin CL 1 ,Mimi binafsi nashangaa watu wanavosikitika kama wanataka kujiua kisa semi final kutolewa ,moment kama hzi kwenye football Tena zaidi ya hizi zinapitiwa Sana na club kubwa zote dunian ...

Kloop katinga final 3 CL lakin kawin 1 mpaka Sasa ,ulishawaza maumivu ya kukosa hizo mbili ?

Unajua maumivu ya liverkuku kukosa final 2018 kisa karius ? Hapa Kuna mtu alijinyonga kabisa [emoji28]

Unajua maumivu ya Barcelona kupigwa comeback ya 3-0 na liverkuku ?

Kuna moment kibao tu za football, kama unafuatlia mpira kitu kama hicho sio cha kukaa na kulialia [emoji23] tofauti na hapo labda ushabikie mieleka [emoji23]

Ze cityzen we have to move on , focus in PL ,...! it's over

We go ...!
Tatzo ni mlivyo na majigambo ndio maana tunawaandama.
 
Sasa kabla ya Game ulivyokuwa unatutambia ulikuwa huyajui haya?
Mbona tulikufahamisha vizuri tu kuhusu haya lakini ukakaza fuvu na hoja zako za Possession football halafu leo unajifanya ndiyo unatuhubiriiiiiaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Yani hapa hatuhami mpaka museme mumekoma kujitapa mbele ya Wakubwa wenu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa
 
Unaukubwa gani wewe ,hivi liverpool mnaweza kusema mnacheza uefa kweli ?

Kwanza njia yenu kufika final ni ya kilocal Sana ,unacheza na villareal,benefica ,sijui intermillan unaakili wewe ?

Hayo ni matimu ya kuja kututambia et umefika final kweli ...!

Hiyo njia ya kichochoroni uliyopita ndio itakufanya upigike mapema final ,uefa haiwezi chukuliwa na mandezi kama nyie mnaocheza Europa na kuibuka final ya CL [emoji28][emoji28][emoji28]
Bayern ni tim ya kilocal?
 
Soma title ya Uzi hapo juu ,ndio maana shuleni mlienda kupoteza muda na kusomea ujinga ,Kuna Uzi hapo juu umeandikwa pep giardiola FC [emoji28][emoji28][emoji28]

Mashabiki wa liverpool ni mandezi kiasi hiki ooooh my God...!

Nisije kuwa nabishana na kilaza level za stg shittttt[emoji28]
Pep giardiola [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Pep Guardiola [emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]
Wewe hata kuandika hujui ndio unajiita msomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa Bayern na Juventuskutolewa njiani na Villarreal unalifanya kama ni kosa letu wewe Vipi [emoji23][emoji23]
Si wangepambana ili wasitokewe hao kina Bayern ili tuwakute! Kiufupi Tumempiga nje ndani mbabe wa Bayern na Juventus na wewe unajua hilo hutaki tu kukiri ukweli [emoji13][emoji13][emoji13]
Dah! Umempa jibu lenyewe kabisa [emoji2960]
 
Back
Top Bottom