Mervin
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 1,914
- 2,630
Kwani Spurs anacheza na Chelsea au Liverpool?.Huyo Spurs kwangu ni mtori tu.
Ushahamia Liverpool mara hii na kuiacha Chelsea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Spurs anacheza na Chelsea au Liverpool?.Huyo Spurs kwangu ni mtori tu.
Utakuwa umenifananisha mzee.Kwani Spurs anacheza na Chelsea au Liverpool?.
Ushahamia Liverpool mara hii na kuiacha Chelsea?
Hizi gemu tatu zijazo mkichukuwa point 7 kwenda juu ubingwa na waachie. Newcastle, Wolves na WesthamNext games Newcastle...!View attachment 2215979
Newcastle sio timu ya kutusumbua mzeeHizi gemu tatu zijazo mkichukuwa point 7 kwenda juu ubingwa na waachie. Newcastle, Wolves na Westham
May 28 sio mbali ,mtatuonesha hayo makombe manne ,kenge nyie [emoji28][emoji28]EPL is not over
Man City haiwezi mfunga WHU wala Wolves kwake
Liverpool ni bingwa EPL
Na ukiyaona yote utafanyaje?May 28 sio mbali ,mtatuonesha hayo makombe manne ,kenge nyie [emoji28][emoji28]
Bora mngekaa kimya tu ,ila hizo Tambo zenu kwenye media sijui quadruble ndio zitawanyooshaNa ukiyaona yote utafanyaje?
Tukichukua utafanya nini?Bora mngekaa kimya tu ,ila hizo Tambo zenu kwenye media sijui quadruble ndio zitawanyoosha
Huna UWEZO wa kuchukua makombe manne .Tukichukua utafanya nini?
Endelea kurudia subiri tuchukue utakuwa unatuchungulia huku umebana nanii kwenye suruali hapo😂Huna UWEZO wa kuchukua makombe manne .
Rudia hio sentesi hapo juu mara 10
Saa moja before game ndio wanatoa kikosiOya kikosi kitachoanza hakijatoka tu?
mwenye laana ni wwHii timu ina laana