The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Pep ni bonge la kocha,
UCL sio kipimo cha ubora wa kocha, kumbuka hata Roberto Di Mateo na ubovu wake aliwapa Chelsea kikombe cha Uefa.

Uefa inataka bahati zaidi, unaweza kuwa na kikosi bora na bado ukatolewa.

Kabla ya Pep kuja City haikuwa tishio sana kama kipindi hiki, Pep anachukua ubingwa huku aki-dominate, habahatishi.

Tangu ujio wa Pep City amecheza Semi Final tatu (3) na Final (1), ni kitu ambacho zamani City walikuwa wanakiota tu.

UCL kwa City ni swala la muda tu, hakuna kocha mwenye uhakika nayo, ni bahati nasibu tu.

Sina ninachomdai Pep hata akishindwa kunyayua ndoo ya UCL akiwa na City.
 
Mkuu data za pep CL zinaonesha kabisa anazidi kuiimarisha city ,na Bado tupo kwenye form nzuri tu ,ila ni swala la marekebisho tu madogo kuendelea kupambania CL ,hao vigagura wa Liverpool wanamuogopa pep mpaka wanatamani aondoke city ,maana kwa liverpool wenyewe kile ndio kikosi chao Bora Sasa wanaimarisha kikosi lakini Bado wanakutana na ukuta wa pep ,so hawana lingine la kufanya zaidi ya kushinda jf kusema pep kafeli ,aondoke city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua wewe jmaa ni mpumbavu ,Tena mjinga kiwango cha stg ...

Pep unasema ni failure..

Anauwezo wa kukupa epl back to back ,kitu ambacho man utd pamoja na kutumia pesa kibao wameshindwa haio ndio makocha walio feli sawa boya wewe .....

Anahakika wa kumaliza top 4 kwa city sio swala la kuhoji,swala ambalo Kuna timu kibao kubwa zinaota pamoja na kutumia hela kubwa kusajili .....hao ndio manager walio feli ....

Anahakikisha anamaliza msimu na kikombe hii haijalishi ,kitu ambacho Kuna timu kubwa zinatoka bila kikombe ....

Kashaiweka city level za kimataifa ,saizi kushiriki CL sio swala la kuuliza ..!

Unaweza kuhisi city hajawahi kucheza Europa [emoji28]kwani speaker za pale etihadi zimeshakaliki tone ya wimbo wa CL ....

Embu naomba niambia kocha ambaye anaweza kuiweka timu kwenye hio peak Tena england Bado ukasema ni failure?????

Harafu mbwa mmoja anamjaji pep kwa kutochukua CL na city,ni manager gani anauhakika wa kuwin CL ,mbona unakuwa mjinga wewe jamaa ,city ipo kwenye peak ni swala to la marekebisho madogo kuendelea kupigania CL ,Leo unataka aje manager gani ? Wewe ni fala Sana mbwa kabisa ....!

Kuchukua CL lazima udominate epl as much you can and one day tutakuwa na kikosi cha kuenda moja kwa moja kuchukua CL ...!

Wewe mpumbavu umekaza fuvu et pep aondoke ,ila psychology yako inaonesha kuwa ,pamoja na Liverpool kuwa na kikosi kizuri kila idara ,viwango vya kila namna mmeshindwa kushindana na pep Sasa mnaona ili muweze kudominate epl kama mnavofikilia ni lazima pep aondoke .....

Nawambia tu pep Bado yupo Sana ,na kama mlifikili huu ni wakati wenu Liverpool,basi mnabahati mbaya Sana Kwan mmekutana na kipindi kigumu mno [emoji28]

Cha mhimu pambana na timu yako kijana ,maswala ya kukaza fuvu et pep anatakiwa kuondoka kwa manufaa ya Liverpool utasubili Sana ......maana hapo england bila pep kloop angeiweka epl kwenye mfuko ....!
Acha matusi mkuu! Binadamu mwenzio tena mtz mwenzio kumuita mbwa sio sawa
 
Kwa chance City wanazotengeneza kwa kila mechi namuona Halaand akipiga 40+ kwa msimu.

Wewe Gongo haikufai bora kunywa Mbege tu.
Huyu Haaland ni Lukaku mweupe tu hamna kitu ndiyomana hata Bayern ambaye Dortmund ni Shamba lake la mavuno ya wachezaji basi hajajisumbua kwa Haaland.

Mkhitaryan
Kagawa
Dembele
Pulisic
Sancho

Hao wote waliwika Dortmund lakini nje ya Ujerumani wamegeuka Vituko. Kwani kuna Mchezaji yoyote wa Dortmund kwa hivi karibuni aliyewahi kuwa bora kwenye timu kubwa ya La Liga au England?
 
Mkuu data za pep CL zinaonesha kabisa anazidi kuiimarisha city ,na Bado tupo kwenye form nzuri tu ,ila ni swala la marekebisho tu madogo kuendelea kupambania CL ,hao vigagura wa Liverpool wanamuogopa pep mpaka wanatamani aondoke city ,maana kwa liverpool wenyewe kile ndio kikosi chao Bora Sasa wanaimarisha kikosi lakini Bado wanakutana na ukuta wa pep ,so hawana lingine la kufanya zaidi ya kushinda jf kusema pep kafeli ,aondoke city [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pep kakabidhiwa Man City mwaka 2016 akiwa ni Semi Finalist, ameifikisha mwaka 2022 ikiwa Semi Finalist.

Asante kwa data hizi kama ndiyo kuiboresha wenyewe ndiyo huku.
 
Wewe Gongo haikufai bora kunywa Mbege tu.
Huyu Haaland ni Lukaku mweupe tu hamna kitu ndiyomana hata Bayern ambaye Dortmund ni Shamba lake la mavuno ya wachezaji basi hajajisumbua kwa Haaland.

Mkhitaryan
Kagawa
Dembele
Pulisic
Sancho

Hao wote waliwika Dortmund lakini nje ya Ujerumani wamegeuka Vituko. Kwani kuna Mchezaji yoyote wa Dortmund kwa hivi karibuni aliyewahi kuwa bora kwenye timu kubwa ya La Liga au England?
Gundo katoka Dortmund na pep ndio ulikuwa usajili wa kwanza ,
 
Selling Ferran Torres for £49.5m to Barcelona, only to replace him with Erling Haaland for £51.3m [emoji15]

Hope the net spenders will like this [emoji6]
mancity_mcfc-20220510-0001.jpg
 
Gundo katoka Dortmund na pep ndio ulikuwa usajili wa kwanza ,

Sasa huyo Guandogan si ndiyo walewale toka aliposajiliwa mpaka leo amekosa namba ya uhakika kwenye kikosi cha Pep, akianza mechi moja basi zifuatazo 5 anaingia sub.
 
Msimu wa 2020/2021 aliyetupa ubingwa naweza kusema ni gundo ,kDB alikuwa majeruhi lakin gundo aliuwasha moto kila game alikuwa anatupia ,[emoji28][emoji28][emoji28]am sure hufuatiliagi game za city
 
Unajua wewe jmaa ni mpumbavu ,Tena mjinga kiwango cha stg ...

Pep unasema ni failure..

Anauwezo wa kukupa epl back to back ,kitu ambacho man utd pamoja na kutumia pesa kibao wameshindwa haio ndio makocha walio feli sawa boya wewe .....

Anahakika wa kumaliza top 4 kwa city sio swala la kuhoji,swala ambalo Kuna timu kibao kubwa zinaota pamoja na kutumia hela kubwa kusajili .....hao ndio manager walio feli ....

Anahakikisha anamaliza msimu na kikombe hii haijalishi ,kitu ambacho Kuna timu kubwa zinatoka bila kikombe ....

Kashaiweka city level za kimataifa ,saizi kushiriki CL sio swala la kuuliza ..!

Unaweza kuhisi city hajawahi kucheza Europa [emoji28]kwani speaker za pale etihadi zimeshakaliki tone ya wimbo wa CL ....

Embu naomba niambia kocha ambaye anaweza kuiweka timu kwenye hio peak Tena england Bado ukasema ni failure?????

Harafu mbwa mmoja anamjaji pep kwa kutochukua CL na city,ni manager gani anauhakika wa kuwin CL ,mbona unakuwa mjinga wewe jamaa ,city ipo kwenye peak ni swala to la marekebisho madogo kuendelea kupigania CL ,Leo unataka aje manager gani ? Wewe ni fala Sana mbwa kabisa ....!

Kuchukua CL lazima udominate epl as much you can and one day tutakuwa na kikosi cha kuenda moja kwa moja kuchukua CL ...!

Wewe mpumbavu umekaza fuvu et pep aondoke ,ila psychology yako inaonesha kuwa ,pamoja na Liverpool kuwa na kikosi kizuri kila idara ,viwango vya kila namna mmeshindwa kushindana na pep Sasa mnaona ili muweze kudominate epl kama mnavofikilia ni lazima pep aondoke .....

Nawambia tu pep Bado yupo Sana ,na kama mlifikili huu ni wakati wenu Liverpool,basi mnabahati mbaya Sana Kwan mmekutana na kipindi kigumu mno [emoji28]

Cha mhimu pambana na timu yako kijana ,maswala ya kukaza fuvu et pep anatakiwa kuondoka kwa manufaa ya Liverpool utasubili Sana ......maana hapo england bila pep kloop angeiweka epl kwenye mfuko ....!
Maneno Mengi lakini ukweli utabaki Pep is just a failure so far hapo mancity. Wining EPL back to back sio kitu cha kushangaza watu Mzee Fergie did it three years on a row. Mashabiki wa Man city bado wanamkumbuka Roberto Mancini alivyowapa EPL msimu wa 2010/2011 baada ya 44 years. Bila UEFA pep hana tofauti na Pellegrini tu
 
Pambana [emoji28]

Pep Bado yupo Sana city hata asipochukua kombe lolote
 
Wewe Gongo haikufai bora kunywa Mbege tu.
Huyu Haaland ni Lukaku mweupe tu hamna kitu ndiyomana hata Bayern ambaye Dortmund ni Shamba lake la mavuno ya wachezaji basi hajajisumbua kwa Haaland.

Mkhitaryan
Kagawa
Dembele
Pulisic
Sancho

Hao wote waliwika Dortmund lakini nje ya Ujerumani wamegeuka Vituko. Kwani kuna Mchezaji yoyote wa Dortmund kwa hivi karibuni aliyewahi kuwa bora kwenye timu kubwa ya La Liga au England?
Sasa si ndo ufurahie tumechukua galasa
 
Pep ni bonge la kocha,
UCL sio kipimo cha ubora wa kocha, kumbuka hata Roberto Di Mateo na ubovu wake aliwapa Chelsea kikombe cha Uefa.

Uefa inataka bahati zaidi, unaweza kuwa na kikosi bora na bado ukatolewa.

Kabla ya Pep kuja City haikuwa tishio sana kama kipindi hiki, Pep anachukua ubingwa huku aki-dominate, habahatishi.

Tangu ujio wa Pep City amecheza Semi Final tatu (3) na Final (1), ni kitu ambacho zamani City walikuwa wanakiota tu.

UCL kwa City ni swala la muda tu, hakuna kocha mwenye uhakika nayo, ni bahati nasibu tu.

Sina ninachomdai Pep hata akishindwa kunyayua ndoo ya UCL akiwa na City.
Hawajui mpira hao, Chelsea imeanza kua tishio toka 2004, lakini imekuja kuchukua ubingwa wa UCL 2013 Tena na kocha mbovu kabsa. Afu wao wanaamini Pep kutokuchukua UCL ni failure. Acha sisi man city tuendelee kumuenjoy Pep.
 
Kwahiyo malengo ya city ni EPL na carabao cups
Muda ukifika watachukua.Achana nao.Sidhani kama inaweza kufikaa 2030 Man city bila kubeba UCL.
Kuhusu Pep kafanya revolution kubwa kwa Man city kwenye UCL,Mwanzoni Man city ilikuwa haivuki hatua ya mtoano.Lakini chini ya Pep angalau timu inasogea mpaka nusu fainali. Kuhusu Uingereza,ukweli usemwe tu,Pep katawala,Hata msimu huu inaonekana hakuwa serious na makombee ya FA na Carling cup, Seems alikuwa ame base kwenye UCL kwa % kubwa na EPL lakini bahati haikuangukia kwake huko kwenye UCL. Ndo maana Sasa hivi ana pambana na EPL kama second priority baada ya first priority kubuma.Lakini kama angekuwa serious kote alikuwa ana uwezo wa kusomba vikombe viwili au vitatu vya Uingereza,Ngao,EpL, Fa. Lakini ndo hivyo.Pep apewe heshima yake Uingereza
 
Unajua wewe jmaa ni mpumbavu ,Tena mjinga kiwango cha stg ...

Pep unasema ni failure..

Anauwezo wa kukupa epl back to back ,kitu ambacho man utd pamoja na kutumia pesa kibao wameshindwa haio ndio makocha walio feli sawa boya wewe .....

Anahakika wa kumaliza top 4 kwa city sio swala la kuhoji,swala ambalo Kuna timu kibao kubwa zinaota pamoja na kutumia hela kubwa kusajili .....hao ndio manager walio feli ....

Anahakikisha anamaliza msimu na kikombe hii haijalishi ,kitu ambacho Kuna timu kubwa zinatoka bila kikombe ....

Kashaiweka city level za kimataifa ,saizi kushiriki CL sio swala la kuuliza ..!

Unaweza kuhisi city hajawahi kucheza Europa [emoji28]kwani speaker za pale etihadi zimeshakaliki tone ya wimbo wa CL ....

Embu naomba niambia kocha ambaye anaweza kuiweka timu kwenye hio peak Tena england Bado ukasema ni failure?????

Harafu mbwa mmoja anamjaji pep kwa kutochukua CL na city,ni manager gani anauhakika wa kuwin CL ,mbona unakuwa mjinga wewe jamaa ,city ipo kwenye peak ni swala to la marekebisho madogo kuendelea kupigania CL ,Leo unataka aje manager gani ? Wewe ni fala Sana mbwa kabisa ....!

Kuchukua CL lazima udominate epl as much you can and one day tutakuwa na kikosi cha kuenda moja kwa moja kuchukua CL ...!

Wewe mpumbavu umekaza fuvu et pep aondoke ,ila psychology yako inaonesha kuwa ,pamoja na Liverpool kuwa na kikosi kizuri kila idara ,viwango vya kila namna mmeshindwa kushindana na pep Sasa mnaona ili muweze kudominate epl kama mnavofikilia ni lazima pep aondoke .....

Nawambia tu pep Bado yupo Sana ,na kama mlifikili huu ni wakati wenu Liverpool,basi mnabahati mbaya Sana Kwan mmekutana na kipindi kigumu mno [emoji28]

Cha mhimu pambana na timu yako kijana ,maswala ya kukaza fuvu et pep anatakiwa kuondoka kwa manufaa ya Liverpool utasubili Sana ......maana hapo england bila pep kloop angeiweka epl kwenye mfuko ....!
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl.
Pain killer hawa wahuni wanaku challenge tu usipanic sana, wakikipigia mikelele kuhusu Pep we wafungulie kabati waonyeshe makombe aliyowaletea Pep wenyewe watafunga mdomo wao.
View attachment 2220147
 
Back
Top Bottom