The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tukutane next season ..!
mancity-20220613-0001.jpg
 
Sisi mashabiki wa city tupo kwa saana tu ndugu ya nini turndelee kupiga mayoe wakati sisi ndo watemi wa epl kwa sasa na kwa siku zijazo,kelele tumewaachia kuku wa klop.
Mpo wapi uchafu tu nyie wakati wachezaji wengine wanapo hamia kwenye timu mpya follows uongezeka ila kwenu naona kwa dogo mambo yapo vile vile [emoji16][emoji16] mna uhakika hii ni timu kweli hii[emoji16][emoji16]
Screenshot_20220614-150526.jpg
 
ngoja nikae kimya uendelee kujiongelesha tu[emoji16][emoji16]maana nime kusapoti kweli yani.[emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28]nenda mzee this is platform unapost kuna watu wanaview ,ukilike au comment au ukapita kimya kimya Mimi hainihusu .....Mimi nitaendelea kupost ...maswala watu hawacomment Mimi inanihusu Nini ,oooh hakuna wachangiaji Mimi hainihusu mzee baba [emoji28]
 
Hurrrraaayyyyy!!!
[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
 
Back
Top Bottom