The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity_mcfc-20220725-0001.jpg
 
Ngoja tuwafanyie msaada kuwainulia uzi hapo juu maana mnatia aibu uku chini.
 
Mwaka jana lecister city walichukua hili kombe kimasiara kabisa .,Nathan ake Kama kawaida alifanya mistake moja akamzawadia ihenacho goli la bure tukafa 1-0 ,licester city wakanyanyua .....!

Leo yupo na Liverpool tana ,je pep ataleta masiala kwenye hili sahani ? ..

Maana Liverpool wakipigwa utasikia Micky mouse cup ila wakishinda utakuwakuta wanafanya parade kabisa [emoji23]...

mancityturkey-20220730-0002.jpg
 
View attachment 2308610
Liverpool wata suffer hakika...we're good
 
Leo ili tumalize game mapema najua Liverpool sio watu wa mchezo mchezo ,wapo vzuri na siku zote wanatusumbuaga ....
Kikosi kiwe hivi ..

--+++---- EDERSON--+++++

Walker -----dias ----stone ----cancelo

Bernardo ---KDB ------rodri /gundo

Mahrez ------haaland ----foden

Najua pep anaweza kumpendelea grealish ila tatizo la grealish Hana maamuzi ya haraka na anapenda sana kulalamika ,anapanic haraka sana ,so kwa game hii ni Bora akaanza foden badala ya grealish
 
Nahisi kabisa Leo grealish ataanza kwasababu ameonesha chemistry flan na haaland....bnafsi pia nataman foden aanze badala yake but akili za guardiola kwenye mechi ka hizi ni unpredictable...
 
Mkuu ukiniwekea foden vs grealish nitachagua foden ...

Kikosi kizima kinajua kabisa kuwa foden ni energic left shooter ,kiufupi ana nguvu mguuni kupiga kuchukua quick action hata nje ya 18 hata Kama kuna msitu wa defender yupo vzuri ....

Jack mpaka akokote mpira na Mara nyingi akikuta madefender wengi anapiga back pass nyuma ....

Game ya Leo inamtaka foden badala ya jack , Liverpool Wana ukuta vvd ,matip ,robartson na anord wapo vzuri,hatuhitaji mtu wa kulalama Kama jack ...

Game vs fc America mpaka fans wengine walienda kwenye page ya jack kumwambia aache makasiriko akiwa uwanjan ,anawahi kupanic hata kitu kidogo na kutaka kugombana ...

Leo kafanya training vzur na foden yupo fit ngonja tuone Nan ataanza ...
 
Leo kafanya training vzur na foden yupo fit ngo

All in all tunahitaji ushindi ili tufungue kampen yetu kibabee
 
Back
Top Bottom