The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
mancity-20220818-0003.jpg
 
We jamaa aisee upo on fire sana. Miezi minne tu una post 3500+ baada ya miaka miwili utampita Numbisa na Mshana Jr . Afu post zenyewe pumba tupu.
Kumbe unanifatilia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niongeze dozi au mpka Mama Cita laana fc tuchukue uefa
Ila ww una post 7000+ tuishi humo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu inayosumbua England inafanya ligi ya England ionekane dhaifu timu iliyomkimbiza babu Ferguson hakika Manchester city mmeimalika [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Chelsea huko kapigwa 3 safi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama kasimama
 
Daaa defence yetu inavuja kabisa ,ila stone na ujinga wake wa kukabia macho [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom