The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mbwa mwizi mwingine kajilengesha sisi tufanyeje sasa ni kubonda tu
a7ea1cab-4f9c-4b11-b023-18661e239165.png
 
Naona shirikisho la Soka England liliitoza man city faini ya laki.260,000£ kama adhabu ya mashabiki walivyovamia uwanjani(Pitch Invasion) siku ile ya mwisho tuliobeba kombe la EPL dhidi ya aston villa

Wangekuwa watu fulani apo wangelalamika weee...ila tajiri wetu kalipa fasta kama kapiga mswaki vile no Excuse...#MoneyTALK. #MoneyPOWER. #WeAreRichestClub.

20221008_142822.jpg

20221008_142838.jpg
 
Naona shirikisho la Soka England liliitoza man city faini ya laki.260,000£ kama adhabu ya mashabiki walivyovamia uwanjani(Pitch Invasion) siku ile ya mwisho tuliobeba kombe la EPL dhidi ya aston villa

Wangekuwa watu fulani apo wangelalamika weee...ila tajiri wetu kalipa fasta kama kapiga mswaki vile no Excuse...#MoneyTALK. #MoneyPOWER. #WeAreRichestClub.

View attachment 2380758
View attachment 2380759
Mkuu hii moment daaaah......
 
Back
Top Bottom