The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Acheni ushamba nyie .. huyu halaand hafiki desemba atakuwa anatafuta mpira kwa tochi. Kwa sasa chelsea moto ushawaka🤪🤪
Haaland...huyu huyu ama yupi kijana?
20221010_122217.jpg
 
Aisee!...kumbe kijana anapewa donge nono la mshahara pale City, lakini uzuri ni kwamba anaitendea haki iyo pesa anayolipwa.

20221010_124153.jpg
 
Pep Guardiola on Manuel Akanji:

"I thought he could [play at right-back] but there are players you have to explain ten times, a player has to train ten times there to do what you are thinking, what you want him to do. And this guy – we did just one training session. Just to tell him – and he got it. The movement you have to do as a full-back, the high pressing, he didn’t do it once. And he did it perfectly. With the ball he’s a magnificent player. Our build-up [against Southampton] should have been with three at the back and that's why normally I play Kyle [Walker] or John, we thought he could do it, it was a little bit scary as he hadn’t proved he could do it before. He had to go up the pitch, pressing, come back defending the crosses at the far post. He didn't miss once, absolutely perfect. It proves again, intelligent people always pay off. Really good, Manu has made a huge impact since he arrived. Again the club made an incredible decision with him. When you are intelligent, I didn’t know him but you realise immediately, I only had to tell him once and he knows it, the movement defensively at set pieces. He did it perfectly. It’s a gift for a manager, a gift."
 
Mahrez kakosa penalty...

Gomez kala umeme ...

Goal la rodri limekataliwa ...

Ushindi wetu ni draw Leo walahiii...
 
Nadhan Mahrez anaongoza kukosa penati, sijui Pep huwa anampendea nini kumpa jukumu ambalo analimudu kwa asilimia chache kiasi hicho
 
Timu yetu bado haijawa na sprit ya upambanaji pindi tunapokuwa kwenye wakati mkugumu ....

Mahrez kashapoteza confidences kabisa ....

Gomez katutoa mchezoni kabisa ....

Next game ...anfield ...

Timu inayomsumbuaga pep uingereza mpaka Sasa ni Liverpool achana sijui na Chelsea , arsenal,man UTD ......haijalishi wapo kwenye hali gani
 
Hii game ya leo Guardiola kafanya ni game ya mazoezi kwa j'mosi nawambia wala hakuwa na machungu nayo kabisa.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app

Hii ndiyo tatizo la watanzania. Ujuaji mwingi kweli kweli[emoji23][emoji23] unafikiri mlikuwa na Gadiola.

Umeshindwa kupata paoint umeshindwa. Duniani hakuna kocha ambae hataki kupata point 3. Inapotokea kukosa anaomba apate walau sare. Sasa ninyi wabongo wenzangu mnajifanya kila kitu mnajua.

Na vipi mngeahinda mngesema ivi ivi au. Subirini Liver akawanyoe vizuri ndiyo akili iwakae sawa[emoji23][emoji23]
 
U

Umemaliza kuota?
 
Kusema kweli hakuna game ya Liverpool Vs man city ninayoangaliaga kwa amani ,huwa pressure inakuwa juu , Liverpool waki turn up ,Wana high pressing ya hatari , energy kalii ....

Kama hatutakuwa na energy ya kutosha kukimbia Kila muda na tactis za maana sitashangaa tukipoteza hii game ....

Tutegeme kumuona haaland akikamiwa na kina VVD ....

Pep mwenyewe anajua ,timu inayosumbua ni Liverpool,Hawa kina Chelsea ,spurs ,man UTD ,arsenal tukipangaaa mahesabu yetu huwa tunawamudu Sanaa....

Nashangaa Liverpool anakuwa underrated ....ila binafsi moto wao Mimi naujua...
 
Back
Top Bottom