The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The real arsenal is back ....



Wawashukuru PL kutuharibu psychologically,hii league tungebeba[emoji3][emoji3][emoji3]
Tulia wew kima, unasemaje kwanza,[emoji23][emoji23][emoji23] et psychologically.... Hakuna kitu kama hiko wew shinda mechi zako, mzozo wa juzi huu,,

mlikuwa wapi toka mwanzo ligi inaanza... Kaeni kwa kutulia hivyo.
 
Kwamba na leo tushindwe kumfunga aston villa?!

mpira unadunda ila sio kwenye tope.

City 2:1 Villa
 
Pep kama pep...

starting XI..


Grealish.....Haaland....Mahrez


Bernado...Gundogan....KDB


Laporte...Dias...Rodri...Walker


............Ederson
 
Back
Top Bottom