The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu martinezz ambavo smpendag,leo nmefurah sanaaaaaaa

Haya man u wasogee wakubwa tumerud nafas yetu pale juu[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji91][emoji91][emoji91]
mancity-20230212-0001.jpg
 
. bernado silva naona anarudi nyuma deep Kabisa kama CB kuzidi hata rodri [emoji3][emoji3]
mancity-20230212-0002.jpg
 
Tuanze CL knock out stage tukiwa na huu moto kudadekii tukutane final [emoji91]
 
Kwahii tactic ya kutoanza na natural DM naona tunakuwa open sana nyuma..
naona bernado anajitahidi kucover yale mashimo.
 
.nimependa haaland alivotulia na mpira,angekuwa kuwa mwingine pale angekurupuka kushuti golin ,akatoa bonge la asisst [emoji91][emoji91][emoji3][emoji3]
mancity-20230212-0003.jpg
 
Kwahii tactic ya kutoanza na natural DM naona tunakuwa open sana nyuma..
naona bernado anajitahidi kucover yale mashimo.
Mkuu hata mim nashangaa rodri kapandaa juu Sana,mpaka benardo slive anacheza kama CB .....

Rodri anajisahau ....
 
Rodri ile penat alitaka apige yeye...rodri leo kachafukwa.
 
Back
Top Bottom