Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Against leipzy nisipo muona kdb ,Mahrez foden ....Game ilikuwa ngumu, palace walikuwa wanacheza physical Game zaidi, tumetengeneza nafasi kadhaa ambazo tumeshindwa kuzitumia.
Kuingia kwa Alvarez kulichangamsha pale mbele na kuongeza threat golini kwa palace.
All in all mkubwa ni mkubwa tu, point 3 muhimu, next ni leipzig
Grealish ni undropable kwa sasa tegemea kumuona.Against leipzy nisipo muona kdb ,Mahrez foden ....
Basi tunaaga mashindano mapema ,Mahrez na foden ndio winger zetu Kali zenye uzoefu CL...
Mambo ni bumper to bumper mpaka kielewekeeeNyie MamaCita mkipoteza game ya leo mtawafanya Arsenyo wazidi kuvimba kichwa, hebu watandikeni hao Palace ili mzidi kuitia presha hio misukule ya Arteta.
Pep huwa anachelewa kufanya maamuz sjui kwann tu. Unaona kabisa tunahangaika kutengenez nafasi lakini bado hafanyi maamuz, tungedroo angekuwa na yeye kachangiaDaa bila kdb midfielders zetu hazina ubunifu ...
Nauga hoja mkono maana dah!Against leipzy nisipo muona kdb ,Mahrez foden ....
Basi tunaaga mashindano mapema ,Mahrez na foden ndio winger zetu Kali zenye uzoefu CL...
Ni kweli ila Jack Grealish wake akiwa nje huwa hakawii kumuingiza huyu kipara sometime huwa anatuchomesha vibaya sana.Pep huwa anachelewa kufanya maamuz sjui kwann tu. Unaona kabisa tunahangaika kutengenez nafasi lakini bado hafanyi maamuz, tungedroo angekuwa na yeye kachangia
Mbona grealish saivi anaupiga mwingi tu?Ni kweli ila Jack Grealish wake akiwa nje huwa hakawii kumuingiza huyu kipara sometime huwa anatuchomesha vibaya sana.