Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Buyern kama vile wamepanic Sana na wanamihemko na CL ...Bayern huko wamemfukuza Nagelsmann wamemchukua T. Tuchel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Buyern kama vile wamepanic Sana na wanamihemko na CL ...Bayern huko wamemfukuza Nagelsmann wamemchukua T. Tuchel.
Cancelo ni impatient.Joao Cancelo: "I've only found out now, I know I won't find Nagelsmann when I return to Munich - he wanted me to Bayern, I'd like to thank him" [emoji837] #FCBayern
"As for Tuchel, he made me lose a Champions League final, so I hope he will win it for me this year!".
Bayern nashindwa kuwaelewa, mbona Nagelsmann alikuwa vizuri tu? Hasa kwenye uefa msimu huu bayern walikuwa vizuri tu.Buyern kama vile wamepanic Sana na wanamihemko na CL ...
Sasa hata Tuchel ni muumini wa solid back 3 kama Nagelsmann tu.Cancelo ni impatient.
Kafurahi sababu Nagelsmann alikuwa anamuweka benchi.
Huyu kapishana na hili kombe hatoamin tutavyonyanyua kwapa pale istanbul hahahaa.Joao Cancelo: "I've only found out now, I know I won't find Nagelsmann when I return to Munich - he wanted me to Bayern, I'd like to thank him" [emoji837] #FCBayern
"As for Tuchel, he made me lose a Champions League final, so I hope he will win it for me this year!".
Huyu tutalipa kisasi alivyotupiga ile fainal na cheltako.Bayern huko wamemfukuza Nagelsmann wamemchukua T. Tuchel.
Tunamhitaji Arsenal msimu ujao huyu.Kuna uwezekano mkubwa Gundo ataondoka City baada ya msimu huu kuisha.
Mpaka sasa mazungumzo ya kuongeza mkataba hayajapiga hatua yoyote.
Yani arteta mjanja kweli, anamtaka gundo & cancelo.Tunamhitaji Arsenal msimu ujao huyu.
Najua mmegoma kutuuzia wachezaji siku hizi.. na huyu hamtuuzii, atakuja bure kuungana na wenzake Zinchenko na Jesus.
Tuliwapa Nasri, Adebayor, Sagna, Clich, n.k.
Ni muda wa kurudisha fadhila sasa.
Gundogan anaenda zake Barcelona, labda mtamchukua Cancelo coz kule Munich nako hakueleweki na kurud Etihad ni ngum.Tunamhitaji Arsenal msimu ujao huyu.
Najua mmegoma kutuuzia wachezaji siku hizi.. na huyu hamtuuzii, atakuja bure kuungana na wenzake Zinchenko na Jesus.
Tuliwapa Nasri, Adebayor, Sagna, Clich, n.k.
Ni muda wa kurudisha fadhila sasa.
Project za academy hizo.Hivi huyu Luka Vuskovic mmeshamfatilia? maana naona txiki anapush sana hili deal la huyu dogo.
A Croatian wonderkid.Hivi huyu Luka Vuskovic mmeshamfatilia? maana naona txiki anapush sana hili deal la huyu dogo.
Bellingham € 100+ million.Borrusia dortmund wanamtaka Shea Charles.
Anaweza kutumika kama sehemu ya malipo ya kumpata Bellingham.