The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Muda wa soka safi umewadia, muda ambao dunia nzima huwa inausubiri kwa hamu kwa ajili ya kuburudishwa na soka tamu kutoka kwa vijana wa pep, the cityzens.

5 minutes to go.
 
Mpaka sasa ni southampton ndio waliofanya shambulizi la maana, ,haaland pocketed as usual.
 
Kevin de bruyne has become the fastest premier league player to record 100 PL assists.
 
Nilijua Leo lazima haaland atapotezwa japo kafunga goli ila hasikiki kabisa. Kwa timu zinazopiga low block haaland huwa hasikiki.
 
Ubingwa wa city huu wanastahili kutokana na ubora na depth ya kikosi walichonacho tofauti na sisi Arsenal hatuna depth ya kikosi kiasi kwamba tunashindwa kufanya rotation ya kikosi
 
Back
Top Bottom