The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ndio tuseme arsenal leo hawafanyi high pressing?
Wamekutana na wakali wa hizi kazi.
Wazee wa kuoverload na kupress wanategea[emoji23].. Tunawaambia kila sik hii sio maji maji ya songea au mbeya city wanadhan utan.
 
Tukiongeza umakini apa kwenye box tutawabonda hawa Aseno 5

Tunakosa sana magoli
 
IMG_3154.jpg
 
Fantastic first half, tumeupiga mpira mzuri, arsenal wamesusa kufanya high pressing kama kawaida yao.

Saka, martinelli mfukoni.
 
Back
Top Bottom