The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Alvarez ana potential ya kuwa our next no.10

Ana good passing (long & short range), ni mzuri kwenye tight spaces, na ni ball carrier.
Anahitaji mechi nyingi tu kuweza kumaster hilo eneo, hasa kwenye kipindi cha pre season.
 
Haaland kabakiza rekodi ya Dixie Dean ya magoli 63 ndani ya msimu mmoja, hii sidhani kama ataifikia sasa hivi ana 52.
 
Alvarez ana potential ya kuwa our next no.10

Ana good passing (long & short range), ni mzuri kwenye tight spaces, na ni ball carrier.
Anahitaji mechi nyingi tu kuweza kumaster hilo eneo, hasa kwenye kipindi cha pre season.
Jamaa ni underrated long passer, as long as haaland yupo naona destination ya Alvarez ni attacking midfielder ukizingatia uncertainities kwenye future ya gundogan.
 
Kati ya wachezaji waliotumika sana msimu huu ni rodri, huyu jamaa kama kalvin Phillips asipodeliver itabidi tumtafutie back up mwingine aisee.
 
Kati ya wachezaji waliotumika sana msimu huu ni rodri, huyu jamaa kama kalvin Phillips asipodeliver itabidi tumtafutie back up mwingine aisee.
Phillips auzwe aletwe mwingine , Agustin kun Aguero huwa anamtetea lakini kimsingi huyu jamaa city imemkataa, imagine rodri akiumia, Phillips hawezi kutoa hata robo tu ya anachokitoa rodri.
 
Phillips auzwe aletwe mwingine , Agustin kun Aguero huwa anamtetea lakini kimsingi huyu jamaa city imemkataa, imagine rodri akiumia, Phillips hawezi kutoa hata robo tu ya anachokitoa rodri.
Hata grealish alikuwa judged hivihivi.
(sijatoa guarantee kwamba kalvin ataimprove isipokua nasema tumpe muda maybe anaweza kuimprove)
 
Jamaa ni underrated long passer, as long as haaland yupo naona destination ya Alvarez ni attacking midfielder ukizingatia uncertainities kwenye future ya gundogan.
Inaonekana kabisa pep anaenda kumuweka alvarez kwenye hilo eneo, the way alivyowa transform stones, ake, grealish basi naona na alvarez anapitishwa humohumo, pep msimu ujao atakuja na system mpya.
 
Phillips auzwe aletwe mwingine , Agustin kun Aguero huwa anamtetea lakini kimsingi huyu jamaa city imemkataa, imagine rodri akiumia, Phillips hawezi kutoa hata robo tu ya anachokitoa rodri.
Kuna maximo perone, huyu inabidi tumuangalie kwenye preseason huenda kukawa hakuna haja ya back up DM mwingine.
 
Pep Guardiola has been nominated for the April manager of the month award along side Eddie Howe, Garry O'neil, Roy Hodgson and Unai Emery.
 
Kevin De Bruyne and Erling Haaland are among the nominees for the April player of the month award.
 
Kwa hiyo Alvarez anataka kuwa attacking midifilder?....sidhan kama pep Kwa hili ataweza ....

Mim naona Bado hawezi kuimudu hio position ....

Ukiangalia movement za Alvarez akiwa na mpira katikati ya msitu ,utaona anavotumia nguvu nyingi kucontrol mpira ,tofauti na kdb .....

Jana Kuna muda Hadi walimkwatua kiatu nahisi aliumia ,sababu ya kuhold mpira Kwa sekunde kadhaa kutaka kupiga pass , attacking midifilder lazima uwe mnyumbulifu , quick action taker ,akili ifanye kazi chap kuliko mwili .......labda huko mbeleni ataweza .....

Sijui Kwann pep hamwamin orteg ,lakin huyu jamaa anajua kulinda goli ,kiufupi akikaa golin ni kama alison ,ni stoper mzuri Sana ,....japo Kuna muda namuona anaiga movement za ederson ,kusimama na mpira Sana kusogea mbele kutafuta mtu wa kumpigia ....ederson anaweza kukaa na mpira hata second 7 ,watu wamesimama tu wanasubili apige [emoji23]
 
Kevin de Bruyne won Nissan's goal of the month in February for his goal against arsenal.

Now, he has won it again (April) for his goal against....guess who?
Arsenal.
 
Kelvin Phillips next season atakuwa mkombozi wetu ,subili muone ...

Rodri huu msimu Yuko fire,but haimanishi next season atakuwa hivo hivo ,kama vile foden ,Mahrez wakati wanakiwasha hakuna mtu angetegemea grealish angekuwa regula starter wakati Bado wapo .....

So next season tegemea kumuona kalvin Phillips wa Leeds ....pep atampa nafasi ...
 
Back
Top Bottom