Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
4 points clear at the top of the table
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaba pia alikua doubt ila naona yupo, hawa tutapambana nao mpaka kieleweke.Modric naona yupo benchi, ilisemekanà atakosa game yetu sababu ya injury ila yupo bench Leo kumaanisha jumanne tunae.
Kule hatutakuwa kama tulivyokuwa Leo, lazima tutacheza kikubwa.Game tumeianza vizuri lakin tukaishia kubana mpubu, hii mentality ndio ilituua kwa madrid msimu uliopita.
Ake inaweza kuwa alitolewa kwa ajili ya tahadhari na hata kama ni injury, akanji ni perfect replacement.OK Akanji atacheza sio mbaya, Ake likely atakosa game ya Madrid.
Niko nacheki game yao hapa, wana uchezaji wa kuachiaachia matobo.Alaba pia alikua doubt ila naona yupo, hawa tutapambana nao mpaka kieleweke.
Vinny na Rodrigo huwa wana overload upande wa kushoto, ukiangalia mashambulizi hatari ya real yanatokea kushoto.Hii combination ya Rodrigo benzema na vinicious inaumiza kichwa.
Vinny akipata mtu wa kumshika vizuri, Madrid wanakuwa nullified kwa kiasi kikubwaVinny na Rodrigo huwa wana overload upande wa kushoto, ukiangalia mashambulizi hatari ya real yanatokea kushoto.
Tuna kamati ya roho mbaya pale nyuma.Hii combination ya Rodrigo benzema na vinicious inaumiza kichwa.