Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hisia hazitampeleka popote... Usichanganye hisia na kazi...it's lethalKevin de bryena na kipa wa madrid kotuas walikuwaga mabest friends hadi kotuas alipomgonga demu wake debreina wakawa maadui hawaonfei licha ya wote kuwa timu ya taifa ya ubelgij
Ndo maana dibroina kashangilia hilo goli kwa hisia
Hawaongei kabisaHisia hazitampeleka popote... Usichanganye hisia na kazi...it's lethal
Watoto wa ucl mli tegemea hadi saivi muwe mna ongoza 4-0[emoji28][emoji28] safari yenu ina ishia apa nusu fainali. [emoji91][emoji91]Los blancosLeo Mta shangazwa na expectations zenu