The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Arsenal akipoteza hii mechi na brighton man city atahitaji kushinda mechi moja tu nakutangaza ubingwa
 
82176094-C6D6-4ECB-8826-C2F1B010B30B.jpeg
 
Natumaini city players watakua kwenye mood nzuri sana against real Madrid sio Kwa hichi kifuraha tulichonacho
 
Manchester City need just one more win to become Premier League Champions again [emoji3063][emoji170]

It’d be the third PL title in the last three years… fourth in the last five years for Manchester City under Pep Guardiola [emoji91]
FB_IMG_16840878138324479.jpg
 
Carlo katukamia hatari ,kama TT alivokuwa katukamia kule Allianz arena ...

[emoji599][emoji981]| Ancelotti: "Camavinga will rest tomorrow and will return in training on Monday."
 
Mimi ni drid na pale etihad mtatupiga kama ngoma
 
Tunaposema mwaka huu tunapiga hattrick ya makombe watu watuelewe.

Ona sasa mechi zimekua nne sio tano tena.
 
Msimu huu preseason tunaianza mapema sana, tukishabeba ubingwa wiki ijayo hizo mechi zilizobaki tuta assume ni preseason.
 
Tunatoka kumchapa madrid jumatano, wikiendi tunaenda kutawazwa mabingwa [emoji23][emoji23] raha sanaa.
 
Watu wanafikili hii mentality imeanza saizi ,waulize Liverpool hata klopp hajaja ,man city utaendelea kuwa nightmare kwao [emoji23]

2013/2014 hata pep hayupo ,tuliwahi kumfanyia unyama Liverpool Steve g kuteleza tu waliisikia epl kwenye bomba [emoji23]...

Mim siwalaumu arsenal ila Liverpool wanapakumbaka hapa ,achilia mbali ile run ya pep &klopp ya point Moja ...

Man city 86
Liverpool 84
.
.
IMG-20230514-WA0113.jpg
 
.View attachment 2622125
Nyumbu 2011/12
Liverpool 2013/14
Liverpool 2018/19
Liverpool 2021/22
Arsenal 2022/23

Hii kazi tunaiweza hatubahatishi.
 
Watu wanafikili hii mentality imeanza saizi ,waulize Liverpool hata klopp hajaja ,man city utaendelea kuwa nightmare kwao [emoji23]

2013/2014 hata pep hayupo ,tuliwahi kumfanyia unyama Liverpool Steve g kuteleza tu waliisikia epl kwenye bomba [emoji23]...

Mim siwalaumu arsenal ila Liverpool wanapakumbaka hapa ,achilia mbali ile run ya pep &klopp ya point Moja ...

Man city 86
Liverpool 84
.
.View attachment 2622125
Under three different coaches city tumezifanya baadhi ya timu zionekane bottlers.

Roberto mancini vs nyumbu.

Manuel Perregrin vs liverpool

Pep guardiola vs liverpool (twice)

Pep guardiola vs arsenal
 
Garry Neville
"Any hopes of arsenal winning the tittle are now over"

Inamaana huyu Neville alikua hajui kwamba watu tulikua tushamaliza ligi toka April 26?!!!!
 
Back
Top Bottom