The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Palmer anajua mpira ila tatizo lake ni kutaka kucheza individual....

Mpira ni pass na kutengeneza space ....
 
Kalvin Phillips Bado analakijifunza ...

Sijajua labda vile hajacheza Sana ,ila naona kama hawez kupiga accurate pass ,Kuna pass kama tatu hivi za hovyo anapoteza kabisa ...
 
Save za Ortega zimetuokoa ..

Stone huwa anajua kuogopa mipira kama ileee [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23]
premierleague-20230521-0005.jpg
 
Back
Top Bottom