Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Kimmich ni versatile balaa, anatufaa.Kuna uwezekano tukafanya swap deal na bayern, tukawaachia Cancelo wakatupa Kimmich.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimmich ni versatile balaa, anatufaa.Kuna uwezekano tukafanya swap deal na bayern, tukawaachia Cancelo wakatupa Kimmich.
Kwanini wasiweze mkuu?Buyern hawawezi kutupa kimmich mzee ,cancelo yeye keshayakanyaga ..
Ni deal ambalo lipo considered, labda inaweza ikatokea ngoja tuone.Buyern hawawezi kutupa kimmich mzee ,cancelo yeye keshayakanyaga ..
Wajerumani wengi mara nyingi buyern munich ndio inakuwaga ndoto zao kubwa huoni hata sane ,buyern tu walivoonesha Nia ya kumtaka fastaa hakupoteza muda ,,,,mara chache Sana kuona wachezaji wa kijerumani kuwa na shauku ya kucheza uingereza .....Kwanini wasiweze mkuu?
Watulize mshono, hata haaland akipigwa ban ndio wanadhan alvarez atawaacha!Manyumbu wanataka haaland apigwe ban mechi ya FA alipomwambia grealish "I Fvcking love you" live wakati anafanya interview jana.
Wanataka walinde legacy ya babu yao [emoji28]Man UTD watakamia game najua ,maana hawataki record yao ifikiwe ya kuchukua CL ,PL na FA [emoji23][emoji23]...pep hapa anatakiwa kuhakikisha nyumbu tunawanyumbua ...
Hawa msako tutakao wafanyia sipati picha kbs.Man UTD watakamia game najua ,maana hawataki record yao ifikiwe ya kuchukua CL ,PL na FA [emoji23][emoji23]...pep hapa anatakiwa kuhakikisha nyumbu tunawanyumbua ...
Manyumbu wanataka haaland apigwe ban mechi ya FA alipomwambia grealish "I Fvcking love you" live wakati anafanya interview jana.