kayamtumbi
Senior Member
- Aug 6, 2022
- 134
- 136
juzi roma anachezesha kikosi cha pili unaic morinyo mjinga hapana anajua nini kinafata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kinafata huko roma?juzi roma anachezesha kikosi cha pili unaic morinyo mjinga hapana anajua nini kinafata
mkuu hawa jamaa wapo sema final zote ata attend pale nafasi yake asipokuepo pressure inakuaga kubwaRuben dias hajatrain na timu kwa siku 10 sasa.
Pep anasema wana injury, ngoja tuone jumatano kama watakuwepo kwenye training.mkuu hawa jamaa wapo sema final zote ata attend pale nafasi yake asipokuepo pressure inakuaga kubwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu nacheka kama mazuri pale nyuma bila Diaz tutalia........vilio vya kwiki mana itambidi........ rodri apige kazi nzito na kdb anaonekana......... kuchoshwa na bwana mdogo halland .........mana yeye anawaza ma speed tyu na mzee alibino hataki anajikongoja uefa second leg nadhani ulionaPep anasema wana injury, ngoja tuone jumatano kama watakuwepo kwenye training.
All option on the table jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER United ten hag limemuhakikishia sir Alex Ferguson kuwa lzm MANCHESTER city akose kombe mojawapo kati ya FA au UEFACha mhimu ni utulivu tu ,man UTD wamekamia hii game ,maana hawataki record yao kufikiwa ya kuchukua treble ...
Ana maana gan[emoji2424] Pep Guardiola: "We are where we are thanks to the people before. We learn. We learn from all of them. When you rebuild a team, it’s normal after six, seven years, it’s because of the strength of the club. It doesn’t just belong to me. There was Sergio. Then Gabriel. Now Erling Haaland. He belongs to the club. Not to me. If the club don’t bring me here and sitting near me is Erling, we cannot do it. We underestimate our club and hierarchy, it's the key point of this organisation.."
Si Kuna watu wanaamin mafanikio ya man city ni uwezo wa pep tu ,ndio umefanya kufika hapo ,....lakin pep anajaribu kuwambia mafanikio ya Sasa hayajaja sababu ya mtu mmoja ni sababu ya mfumo na uongozi wote wa club ,miaka kadhaa imekuwa ikileta wachezaji kama aguero ,jesusu sasa haaland,maana yake bila club kuleta hao wachezaji yeye pekee asingeweza kufikia mafanikio hayo ....... Watu wamekuwa wakichukulua poa board nzima ya club ,huku sifa zote wakimpa pep so uongozi wote wa club unahitaji kupewa sifa ....
Ana maana gan
Uzuri huyo kocha ten hag kila akiongea pumba kama hizo anaishia kuaibika[emoji23][emoji23]..All option on the table jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER United ten hag limemuhakikishia sir Alex Ferguson kuwa lzm MANCHESTER city akose kombe mojawapo kati ya FA au UEFA
Mkakati uliopo ni MANCHESTER United ishinde kipindi cha kwanza goli tatu
Ikishindindikana dk ya 60 inaanza operation ya kuwaumiza
Ake
Akanji
Kelvin
Haland
Foden
Benardo
Gundo
Txiki begiristan, huyu mwamba apewe maua yake.Si Kuna watu wanaamin mafanikio ya man city ni uwezo wa pep tu ,ndio umefanya kufika hapo ,....lakin pep anajaribu kuwambia mafanikio ya Sasa hayajaja sababu ya mtu mmoja ni sababu ya mfumo na uongozi wote wa club ,miaka kadhaa imekuwa ikileta wachezaji kama aguero ,jesusu sasa haaland,maana yake bila club kuleta hao wachezaji yeye pekee asingeweza kufikia mafanikio hayo ....... Watu wamekuwa wakichukulua poa board nzima ya club ,huku sifa zote wakimpa pep so uongozi wote wa club unahitaji kupewa sifa ....