The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.
FB_IMG_16858116734761564.jpg
 
Ila nyie majamaa hapa wabaguzi sana kwa KDB. Muwe mnapongeza angalau kidogo kwa kazi kubwa anayofanya.
Kdb Leo hakuwa tu kwenye form ,ndio maana pep kamfanyia sub ..

Hakuna mchezaji anayeheshimiwa na pep kama kdb ....

Pep nilikuwa namuona kama vile msimu ujao anataka kumuacha gundo aondoke ,for this performance, Tuna kazi kubwa mno ya kumshawish gundo kubaki ....

Leo grealish hakuwa kwenye form lakin alikuwa anajua kununua ugomvi aisee[emoji23]..
 
Hapa ni kama kwenye muvi wanaanza kuuliwa vijakazi kwanza then anafuata bosi wao...

Tumeanza na haya domestic then tunaenda kumtafuna inter bila huruma tunamaliza msimu.
 
Gundo mkataba wake unaisha 2014 ,means soon anaweza kuanza mazungumzoo na club yeyote inayomtaka na kuondoka free ...

Interview nyingi kila pep akiulizwa future ya gundo anasema hajui ,muda utaamua ,but ukimwangalia pep ni kama vile anataka kumuacha gundo aondoke ,haoneneshi kabisa matumain ya kumhitaji ........ngonja tuone baada ya final CL ......

Mahrez ,walker ,stone ,rodri ,..waliongezaga mkataba mapema mnoo sio kama saizi gundo ....

Sasa tunakazi kubwa ya kumshawishi gundo kubaki ,au namuona akiondoka zake Barcelona,arsenal pia naona wakimtaka ....
FB_IMG_16858122823589047.jpg
 
Watu wanachukulia poa ,ila kombe la fa ni kombe lenye mkwanja mrefu Sana kuzid hata PL,CL ,Carabao ....Europa ndio baba lao

CL na PL ni makombe yenye values tu ....
Mwarabu hana mbambamba lazima atie pesa kwenye lile kombe ili watu wawe makin nalo
 
Mk
Gundo mkataba wake unaisha 2014 ,means soon anaweza kuanza mazungumzoo na club yeyote inayomtaka na kuondoka free ...

Interview nyingi kila pep akiulizwa future ya gundo anasema hajui ,muda utaamua ,but ukimwangalia pep ni kama vile anataka kumuacha gundo aondoke ,haoneneshi kabisa matumain ya kumhitaji ........ngonja tuone baada ya final CL ......

Mahrez ,walker ,stone ,rodri ,..waliongezaga mkataba mapema mnoo sio kama saizi gundo ....

Sasa tunakazi kubwa ya kumshawishi gundo kubaki ,au namuona akiondoka zake Barcelona,arsenal pia naona wakimtaka ....View attachment 2645075
Mkataba wa gundogan unaisha mwàka huu na ashaanza mazungumzo na barcelona kitambo tu.

Kabakiza mwezi mmoja tu mkataba uishe.
 
Kdb Leo hakuwa tu kwenye form ,ndio maana pep kamfanyia sub ..

Hakuna mchezaji anayeheshimiwa na pep kama kdb ....

Pep nilikuwa namuona kama vile msimu ujao anataka kumuacha gundo aondoke ,for this performance, Tuna kazi kubwa mno ya kumshawish gundo kubaki ....

Leo grealish hakuwa kwenye form lakin alikuwa anajua kununua ugomvi aisee[emoji23]..
Mabangi yule
 
Pep Guardiola: “Now is the first time I can talk about the treble... It is one game away…”

“I’m thinking about what we have to do to beat Inter. I spoke with the players many times, forget about it. The people talk about Trebles, or if they will allow us to win the Trebles. Forget about it. Focus on what you need to do to beat Inter..." [emoji170]
 
Back
Top Bottom